Search results

  1. K

    CCM yabariki waondoke kunusuru chama Wamo Werema, Tibaijuka, Maswi

    Sasa moto unawaka na pa kujificha hakuna. Mkuu wa nchi yuko wapi? Kwanini yeye apone? Angekuwa mzalendo angesharudi immediately. Waungwana watasema ni mgonjwa good. Angeongea chochote basi
  2. K

    Ajira za ualimu kwa watu wasio na shahada ya ualimu

    Mwaka huu ni mwaka wa shetani kwa serikali dhaifu. Walisema madaktari ni wabinafsi na wana tamaa, watasema nini kuhusu waalimu. Bado wasubiri mgomo wa wafanyakazi wote kupinga marekebisho ya sheria ya mafao ya uzeeni. Anayelishauri taifa ana homa ya uti wa mgongo,au ebola anakaribia kukata roho...
  3. K

    Ndugu wa Ahmed Msangi: Maisha yetu Hatarini; Hemedi Katumiwa!

    Sasa anakimbia nini. Agangamale. Unajua na yeye alitaka watoto wale vizuri,mke avae, watoto wasome shule bora kwa sabababu kazi yenyewe itakuwa ilipangiwa dau zito. Ila maskini,upeo,elimu,uoga na natural selection vika-mlet down. Next time auze walau nyanya.
  4. K

    Kipimo cha UDINI na UKABILA ni nini?

    He who praises the rain, has seen it. Do not under-estimate any accusation until there is a proof beyond reasonable doubt. Again yes there must be affiliation. You heard from the parliament recently " will the president choose an advisor who he is not affiliated with"???? What other evidence do...
  5. K

    Taarifa ya Afisa Uhusiano wa hospitali ya Muhimbili 03/07/2012

    Nani katunga hii? Intern anawajibika kwa katibu mkuu, mkurugenzi wa tiba na msajili tu. Hii ofisi ya maswala ya serikali ipo dar au iran?
  6. K

    Taarifa ya Afisa Uhusiano wa hospitali ya Muhimbili 03/07/2012

    Wakashuhudie wenyewe. Hata dodoma watu walikufa kwa njaa na bado serikali ikasisitiza hakuna njaa wala aliyekufa .this time batalokotaga benyewe!
  7. K

    Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

    kaka ni kweli kabisa nadhani huyo zoba i mean zomba anajua hizo gharama ni za ct scan ya slice ngapi?
  8. K

    Madaktari mkisalimu amri sasa mmekwisha; mtawahukumu wanaokuja nyuma yenu

    Warudi tu kazini. Lakini wait! Si watanzania wataendelea kufa kwa kukosa huduma? What is the point ya mgomo. Wananchi kwaninni kwa pamoja tusimwambie mkuu kuwa hiyo approach ya vitisho ni mauaji kwa raia. Wanaharakati wamesma sana lakini ghafla wamwekuwa drifted awy na swala la kutekwa na...
  9. K

    Fukuto la mgomo wa vyombo vya usafiri nchini

    Kuna tetesi kuwa unaweza ibuka mgomo mkubwa wa daladala na mabasi yatokayo na yaendayo mikoani. Mfano tumesikia mara kama 2 wks ago , moshi nako daladala za mjin ziligoma kwa siku moja wiki iliyopita na leo kulikuwa na fukuto la mgomo moto/baridi wa magari yatokayo na yaendayo mikoani. Wadau...
  10. K

    Walio nyuma ya mgomo wa madaktari ni hawa...

    nadhani wewe ndiyo mpuuzi kuliko hawa madoctor,kwa sababu wito ni nini? Hata kama wangekuwepo na vitendea kazi hakuna watu wangekufa tu. Hivyo madaktari wote fungeni mikanda hii nchi inahitaji ukombozi wa kweli. Acha tuteseke leo kwa manufaa ya vizazi vijavyo
  11. K

    Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    ni kweli mwalimu aliyakufundisha hesabu za kujumlisha alifanya kazi, na wewe unaufahamu uchumi wa nchi .sasa magari wanayotembelea wabunge na rais kwenye msafara yana gharama gani? Mshahara wa mbunge anyesinzia bungeni shillingi ngapi? Nadhani ungeanzia hapo halafu ufumbue macho uangalie...
  12. K

    Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    Bravo mdau waelimishe hawa watanzania wafahamu ukweli
  13. K

    Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

    It is a good move. Kama wanafahamu kwamba mwisho wa siku wataambiwa asantani kwa huduma nzuri ila serikali haina pesa. Kitakachofuata kama huna mtaji mkubwa unaweza kufunga hospitali
  14. K

    Muhimbili madaktari watimuliwa

    They need really to unite manake ni shida. Ila jamani hospitali zetu zinatia aibu. Sasa hivi 80% ya vipimo na dawa unaambiwa nenda hospitali binafsi. Wananchi wenzangu haya yanatugusa? Au ndo tunakuwa na ule upeo wa aah madaktari wanadai maslahi. Nenda hospitali sasa uandikiwe dawa uone. Ila kwa...
  15. K

    Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka

    Wana wana! Wadau tuunge-unge jamani kamanda apelekwe india
  16. K

    Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

    kweli mkuu hapo kuna kitu tunamiss yaani "purchasing power parity"
  17. K

    La Dr Steven Ulimboka hatuwezi kuliacha lipite hivihivi!!!!

    Ni kweli kabisa wadau. Si jambo la kufumbia macho. Leo tunalitazama kwa upeo wa mgomo wa madaktari kwa hasira na gadhabu kutokana na mateso wanayopata ndugu zetu manake kunaweza tokea bias katika thinking. Hebu fikiria labda wangevunja vibanda vyetu hapa mwenge na tukamteua kiongozi wetu...
  18. K

    Changia chochote kuokoa maisha ya doctor ulimboka

    Hii nchi inahitaji ukombozi wa elimu. Kama unajiita msomi halafu hujui hata scheme of service in hatari. Kabla ya kuropoka na kupost jichunguze because you are what you write! Kwa sababu ilivyo mshahara wa all health personnel unkuwa-callibrated kutoka mshahara wa dk sasa ubinafsi hapo uko wapi?
  19. K

    Changia chochote kuokoa maisha ya doctor ulimboka

    Bahati mbaya sana maka hilo ni wazo lako mwenyewe. Mgomo unakutisha, ila ufisadi unaukumbatia. Namnukuu mwalimu nyerere," kila kukicha wendawazimu wanazaliwa" wengine tutachanga
Back
Top Bottom