Search results

  1. K

    Mmarekani amgwaya mrusi... Putin na russia ni sawa na simba dume amtandika marekani kwa chase

    jiwe la David linakaribia kurushwa!Mmarekani inamuhusu nini?
  2. K

    Wanaume na 'kuchezea maisha'.....

    Listening to the elders does'nt mean that they are perfect but we have to listen tothem simply because they have an experience for so many mistake what they did during their teenagers life.so anapaswa kuwa somo kwetu!
  3. K

    Wanaume na 'kuchezea maisha'.....

    ni kwelli Mkuu lakini cjapata data kwamba anahitaji msaada?Je kwa kipindi chake chote alikuwa anahitaji gari?kwa sababu gari ni sawa na bakuli so inawezekana alikuwa haoni umuhimu wa kuwa nalo.Inahitaji BIG THINKING Kujipanua kimaisha na kimiradi:cheer2:
  4. K

    IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

    wanyarwanda wako wengi mpaka tumeoana.Mkuu we wataje tu maana wapo.
  5. K

    Chadema hela ya kufanyia mikutano wanatoa wapi?

    Wewe ni mshabiki tu!cha kukushauri tembelea ofisi za CDM Usiulize wakati taarifa zetu ziko wazi.
  6. K

    Sheikh Ponda asomewa mashtaka akiwa amelazwa Muhimbili!

    Haya mambo inatakiwa tuwe kitu kimoja kupinga na kulaani kiongozi wa imani au dini yeyte kupigwa nchi hii ina uhuru wa kuabudu so sidhani kama kuna atakae furahia akikuta Mwakasege kapigwa bomu au risasi kwa tukio hili inabidi tuungane na tulikemee kwa pamoja.
  7. K

    Sheikh Ponda asomewa mashtaka akiwa amelazwa Muhimbili!

    Ndio maana Papa Kasilimu kwa sababu kazi yenu ni kuuwa wateule na kuwaacha wezi wakila kuku.
  8. K

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Mbona jambazi akiuawa wanatangaza au jambazi ni maarufu wa kitu gani?
  9. K

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Mwl.J.K.Nyerere alisema mwisho wa ccm ni ccm yenyewe.sasa wako katika harakati za ricover weakness.
  10. K

    Ufupi kwa wanaume ni janga jingne katika mahusiano

    mansa hata nami nijuzwe na kama ni migegedo tujue.
  11. K

    Mtanzania adakwa na mihadarati China

    majaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanga!
  12. K

    Mapenzi ni matamu ila wazazi wakati mwingine ?????

    mkuu ni kweli huyo ni zaidi ya adui yangu lakini cha ajabu sijamkosea na nakosa jibu na msimamo wa namna ya kuishi naye.
  13. K

    Mapenzi ni matamu ila wazazi wakati mwingine ?????

    Asante mkuu na huo ndio msimamo wangu kwa sasa ila nimeamua kuwaoomba msaada maana ninaweza nkawa maamuzi yangu ni mabaya.
  14. K

    Mapenzi ni matamu ila wazazi wakati mwingine ?????

    hawajaniambia na ninachokiona kila siku kwangu ni chuki tu.
  15. K

    Ndoa si lazima wakuu....

    Kama wewe ni towashi uko sawa maana Paulo yeye alikuwa towash na ndio maana aliweza.Pole
  16. K

    Channel 10 usiku; Mhe Membe kuongelea ripoti na tathmini ya Uchaguzi wa Zimbabwe

    Loading............................... YANGOSWE?????????????????
  17. K

    Mapenzi ni matamu ila wazazi wakati mwingine ?????

    Salam wana jamvi! Mimi na Mke wangu tunapedana sana lakini tatizo liko kwa Baba yangu mzazi ambaye ananipinga sana na hataki niishi na mke niliyempenda mwenyewe. kwa upande wangu sioni tatizzo lolote kwa mke wangu na tunaelewana sana.Ninakuwa sina amani kwani sina uhuru hata wa kwenda nyumbani...
  18. K

    sifa za wanaume wenye vitambi

    Ongeeni ukweli sio kitambi ni utapia mlo aaaaaaaaaaaaagh!
Back
Top Bottom