Search results

  1. I

    Wanawake, hivi mnapotoka nyumbani huwa hamjijui kuwa mmevaa nguo fupi?

    Mitishamba hiyo ni geresha anataka uone kuwa hajapenda kuvaa hivyo (Kitop na Kimin). Sasa mwambie ainame kuchukua simu iliyodondoka chini utaona anavyohangaika.Biashara zingine hujiuza zenyewe ila zingine sharti uzitembeze.
  2. I

    Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

    Umakondeni kuna majina ya aina hii =Naumbwa, Nanguruwe ,Namupa, Chanika Nguo, Lukuledi
  3. I

    Wakuu tukumbushane vifo hivi & kuumwa:walidai haki za Watanzania

    Wakuu, tusimsahau askari aliyeupotosha msafara wa Jk kule mkoani Mara
  4. I

    Mwanamke mbaya kuliko wote baada ya eva,yezebeli, duniani ni spika wenu ""anna makinda""

    Wana JF hivi kuna anayefahamu hiyo kamati ni ya wabunge wangapi? Inakutana na nani? Kuna haja kubwa ya Bunge kulifuatilia kwa karibu suala hili la Roho za watanzania zinazoteketea kila kukicha.Hivi Wabunge wakienda kule Muhimbili hawatalipwa POSHO? Spika kama alighafilika aombe radhi watanzania...
Back
Top Bottom