Search results

  1. Miltony

    SoC03 Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu

    Kwanini Watanzania tunapotea katika elimu shuleni? Na kwanini tunasoma na mwisho wa siku tunakaa bila ajira? Ni kwa sababu zifuatazo KISIASA: Kisiasa elimu inachukuliwa kama chama tu ambacho kinajitegemea na kinajiweza kwa kila kitu kana kwamba chenyewe hakiitaji nguvu ya ziada kusukumwa na...
  2. Miltony

    SoC02 Jinsi ya kuijua fursa katika mazingira yako bila uzoefu mkubwa

    Katika karne ya leo ya 21 ni kweli ajira imekuwa ni kipengele kwetu sisi vijana na wengi wa wazazi wetu wanakwama pale wanapoamini kwamba kweli ufunguo wa maisha ni elimu wanasahau kwamba iyo elimu inaweza ikakukalisha nyumbani na yenyewe ni sawa na biashara tu mtaani kwani unawekeza mwisho wa...
  3. Miltony

    SoC02 Tanzania yenye sura mbili ndani ya sura moja

    Ni katika mpangilio wa sayari saba zenye kupendeza ambako inapatikana sayari moja inayoitwa dunia na ndani ya hiyo dunia kukiwa na mabara yapatayo saba(7) basi kati ya hayo mabara linapatikana bara moja lenye sifa kibao likiwa na rangi ya kijani ya kutosha , mali nyingi kama madini n.k, lakini...
Back
Top Bottom