Search results

  1. supatolu

    Kwanini Rais Samia katumia strategies hizi? Kuna Nini kimejificha?

    Ukweli ni kwamba Mh. Rais hakubaliki kabisa na wananchi. Huku vijijini mpaka akina mama wenzake tu hawamkubali. Inaonekana hata yeye analijua Hilo ndio maana anaandaa mazingira hayo. Na huenda si nia yake kupita hiyo njia. Amelazimika tu maskini. Sometimes naye ni wa kuhurumiwa tu jamani, huku...
  2. supatolu

    CHADEMA na tamko la maandamano ya amani

    Yanaanzia Dar...
  3. supatolu

    FT: Mapinduzi Cup | Nusu Fainali, APR 2-4 Mlandege | Januari 8, 2024

    Nusu fainali ya kwanza... Mabingwa watetezi Mlandege FC wametinga fainali ya Mapinduzi Cup baada ya kuitoa APR kwa mikwaju ya penati. FT: Mlandege FC 0-0 APR FC (Pen: 4-2)
  4. supatolu

    Elimu bila malipo imekufa kimyakimya

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. supatolu

    Elimu bila malipo imekufa kimyakimya

    True halafu tuangalie na vipaumbele pia
  6. supatolu

    Kada ya Ualimu(Walimu) ni watu ambao hawana exposure? Walimu ni watu ambao hawafatilii chochote?

    Mengi yatasemwa lakini heshima ya mwalimu itabaki pale pale. Mtumishi mwenye hadhi sawa na wengine na pengine kuzidi baadhi. Sifa ya uzalendo, upendo na unyenyekevu... Wote tumepitia mikononi kwa walimu. Japo Kuna baadhi ya walimu kweli wanaitia doa Kada hiyo, lakini kwa ujumla mwalimu atabaki...
  7. supatolu

    FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. supatolu

    CWT ni Genge la Matapeli wanaokula kwa Mgongo wa Walimu

    Kuhusu kuchangia shughuli kama hizo za mwenge nk inawezekana ni mkakati wa wilaya husika kulingana na muktadha wa eneo lao na pia nature ya viongozi wa hapo. Sio kote iko hvyo... ndio maana ni vema kutumia neno “baadhi”. Hata hivyo mapungufu ya cwt yapo na yanahitaji kurekebishwa haraka.
  9. supatolu

    Yanga ataishangaza dunia

    Tuanze kuandaa kura kwa Mshana jr mwisho wa mwaka huu...
  10. supatolu

    Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

    Yaani umeelezea kiaina hadi nimejiona mie na wewe wote mbuzi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom