Wanajeshi wanahusikaje hapo??? Uliza kazi ya jeshi la zima moto na uokozi linakazi gani? Kusubiri moto?? Uliza tena vituo vyao kwa nini vipo mjini peke yake? Ziwani na vijijini hakuna majanga??? Ziara ikatizwe.
Gari lilishawaka..! Hata kama cyo leo ipo siku itakaa level! Baada ya jpm alikuja mtu anaitwa haraka haraka, wakampa cheo, sasa katokea mpina humo humo mungu akiamua hazuiriki
uko sawa mkuu, ukisoma sifa zilizopelekea mji wa jerusalem kuwa na sifa, sifa moja wapo ni hii yakuvuna maji ya mvua, mji huu umezungukwa na mabwawa ya maji kila kona, wao kipindi kile waliita mabirika (rejea ktk tafsiri ya bibria sehem ya yerusalem) hivyo mvua zikinyesha wanavuna maji yote...
Nadhani nimda mwafaka watuambie na gharama za kutangaxa hii birthday na ctoods fm nani analipa, au ufadhiri wa nani..! Na argenda kuu ni nini..! Kama ni urai wa mtt wa mramba asali basi watakuwa wamedanganywa na utafiti wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.