Search results

  1. N

    Tujulishane tabia za wachaga

    wooooooooooooooo ma ndede,kwahiyo sitapata mume ndao kwasababu ni mchagga? poor me,yeuwiiiiiiiiiiii watu mna fikra hasi kuhusu kabila letu duh! kwastali hii tuatawowana wenyewekwa enye kwaababu tunajua.
  2. N

    Nikimpata naoa.

    Mimi nakufaa kabisa,ukinikosa huna bahati kijana.
  3. N

    Nani anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani? andika jina hapa chini bila chuki...

    Haya tunasubiri mtuchagulie akizingua tuwarudishieni tena.Haka kawizara kanahitaji mtu makini sana.
  4. N

    Msaada jaman! Masterz of Education, mshahara sh ngap?

    Ndugu believe me or not kwa kuanzia hakuna kitu kama hicho,labda kwa aliye kazini akajiendeleza. TGTS E1 ni 618,000 ukishakatwa unakula 490,000.Karibu sana kwenye fani.
  5. N

    Msaada jaman! Masterz of Education, mshahara sh ngap?

    serikali haina mshahara wa masters wala phd kwa kuanzia kwenye sekta ya elimu ila utapewa kipaumbele kwenye nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa chuo,afisa elimu,afisa taaluma n.k ambapo mshahara wako utakuwa tofauti na maafisa elimu wafundishaji tena ni baada ya kupata uzoefu wa kutosha kazini...
  6. N

    Makumira wakosa nafasi za uwalimu

    Poleni sana,hii ni kukosa umakini kwa wapangaji. Labda awamu ya pili itakayotoka mwezi wa tatu watawapanga kuweni wavumilivu.
Back
Top Bottom