Search results

  1. K

    Mshamu njoo CHADEMA ugombe ubunge Selina kombani hatufai

    Mambo ya ajabu hayo, kwani huyu Mshamu ndo atawalimia mashamba yao? kama kuna njaa kwa uvivu wa watu kulima hata aje huyo Mshamu ni kazi bure... labda kama ndo kudanganyana atawalimia.....na kama yeye ni kiongozi mzuri basi hata akiwa hapo cuf mchagueni usilete kampeni za uongo ujanja
  2. K

    Nani ana mashabiki wengi kati ya simba na yanga?

    yaani mkutano wa slaa ndo unadi mashabiki wa simba..?? noma bro
  3. K

    Nani ana mashabiki wengi kati ya simba na yanga?

    Basi huyo Mgana alizaliwa majuzi angekuwa mkongwe angejua Asante kotoko ilikumbana na kisiki kipi mpaka leo kimeacha historia..kwa ufupi yanga ndiyo yenye mashabiki wengi
  4. K

    Hi ! wana JF

    Habarini wana jf, jamani mie ndo nimechupa kwenye jukwaa nimependa mengi, tuelimishane tupashane habari.. naomba mnikaribishe..!
  5. K

    Hi ! wana JF

    Habarini wana jf, jamani mie ndo nimechupa kwenye jukwaa nimependa mengi, tuelimishane tupashane habari.. naomba mnikaribishe..!
  6. K

    Naomba web site ya uefa na ligi ya Uingereza

    Naomba nijue web site ya matokeo ya ligi ya uk na pia uefa ni ipi? natamani kupata matokeo mpira unapoendelea
Back
Top Bottom