Search results

  1. E

    Knights templars, jesuits, freemasonry & papacy new world order nexus

    Proving beyond doubts! which doubt to be proved? The author of this theory Is 100 percent true. The connection between the secretal societies mentioned above is obvious to those who reason enough, but normally we re not forced to reason the way the initiator of the thread is thinking. We all...
  2. E

    Ufujaji wa pesa unavyojengeka tangu utotoni

    Umenena bro. Bravo kabisasi unajua ufahari nao ni ujinga mkubwa kwa wazazi kwenda watoto hao. Kikwajuni One hujakosea. Thread hii haitapata wachangiaji kwani ndo utamaduni wa Bongo-jema haliungwi mkono na la hovyo linashobokewa saaaana.
  3. E

    Ponda atuma salamu kwa watetezi wa haki

    Bangoo- hujawahi kuona wapumbavu ndo maana unadhani ponda ni --------. Uewnda wewe ukijua wapumbavu utajikuta wewe ndo -------- wa kwanza na utajijua hivyo
  4. E

    Ponda atuma salamu kwa watetezi wa haki

    Anatengeneza kwa wengine kwake kunabomoka. Ni kwa sababu anadaganywa na wana usalama na bakwata kuwa Ponda ni mhuni. Anashindwa kutumia akili ya kuambiwa naye akachanganya na za kwake kama mbayuwayu (rejea maneno ya JK kuhusu wafanyakazi walipoombwa kugoma kushinikiza maslahi bora). JK ni mzuri...
  5. E

    Ponda atuma salamu kwa watetezi wa haki

    Hatushangai, hayo ndo malezi uliyolelewa. Aliyekufundisha kuwa shehe mpaka aswalishe msikiti Fulani ni mpuuzi kama wewe
  6. E

    Wanaharakati wa haki za binadamu (LHRC) Ponda siyo binadamu?!!?

    Pole ndugu yangu. Kwani umebaini hili leo tu? Wakati akifungwa pingu na kuvuliwa viatu na kutembea kuingia mahakamani hawakuthubutu hata kuinua midomo- si unajua ni Muislamu huyo. kwa wao Muislam anastahili lolote baya. Unabisha? Subiri limkute asiyekuwa muislam utasikia muda mfupi wanataka...
  7. E

    Mtanzania adakwa na mihadarati China

    Sawa, uenda ikasaidia vijana kutojiingiza katika kutumika kama wasafirishaji wa dawa hizo na kuepusha vijana kudhuriwa na matumizi yake.
  8. E

    Je jeuri ya Ponda ni udhaifu wa Rais Kikwete? Mbona 2000-2005 hakua na jeuri na kiburi hiki?

    Unaweza kuuliza unavyotaka. Lakini kwa mtu makini hana sababu ya kuuliza swali lisilokuwa na mashiko kama lako. Kila kitu ni kwa wakati na huja kwa kuwa kuna sababu ya kufanya kitu hicho kije. Dhuluma ya Bakwata imeshindwa kuvumiliwa na ndiyo maana utawaona akina Ponda na wengine wengi tu...
  9. E

    Huyu ndiye simba wa CHADEMA

    Hongera @ Prince Tumbo- watu wanadhani amani ni wimbo kumbe ni matendo yanayozingatia haki na utu wa mtu au kundi la watu. Amani siyo utulivu kama wengi wetu tusiotaka kufikiri tunadhani. Utulivu unaukomo wake hasa aple waliotulizwa kwa nguvu watachoka na kudai haki. Ikiwa kweli tunataka amani...
  10. E

    Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

    Pole. tatizo letu watz tunapenda saana kusahau historia kwa kudandia yaliyopo sasa. Nani kasema wakati wa mwalimu TISS haikutesa watu na hata kupoteza kabisa? TISS ndo kilikuwa chombo kama mungu mtu hapa TZ, nani alikuwa na uhuru wa kukijadili kama hivi inavyofanyika sasa? Au ndo tunapenda...
  11. E

    Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

    Big Up. Una uzalendo wa kweli kwa nchi japo mapenzi ya chama yanaweza kuwapo kwenye akili yako. Nchi kwanza. Napenda unavyochambua issue in a positive and crically withou any bias. Tungekuwa wote kama Bw. Kiroba JF inegkuwa ni jamvi la manufaa hasa kuliko ambavyo wengi wetu tumekuwa negatively...
  12. E

    Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum ruler of Dubai afanya kufuru nyingine

    kama maisha yanaenda sawa kuna haja gani ya kuwa na democrasia chungu kama za kwetu? Ukiwa rais tu wanao na ndugu na marafiki wanajichukulia chao na kuwa juu ya sheria. Heri ya kifalme -inayomjali mtumwa kuliko ya kidemokrasia isiyomjali mwananchi
  13. E

    Sakata la Kutishiwa Maisha: Jukwaa la Katiba Wasakwa na Polisi...

    Usimtwishe Mungu kazi ya upuuzi wa mikono yenu. Hakuna Mungu wa hivyo wa kulinda wapuuzi na upuuzi.
  14. E

    Sakata la Kutishiwa Maisha: Jukwaa la Katiba Wasakwa na Polisi...

    Taarifa yako haijitoshelezi japo unadai ni tetesi> Angalia pia kwani sasa kila mtu anatafuta umaarufu japo kwa gharama kubwa. Isije ikawa ni akina Lwakatare wanapanga kuwamaliza -(tusubiri mahakama ihukumu). Lakini pia ukitishiwa maisha unatakiwa ukaripoti polisi siyo kwenye chombo cha...
  15. E

    Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

    kwani ukisema ukweli tu ndo unakuwa cdm? kwani wasio hao hawasemi ukweli.? Acha kujifunga kimawazo namna hiyo. kuwa huru utaona faida ya kukomaa na kukua. usikue kwa kujifunga na cdm tu =ukweli uko hata nje ya cdm. Kama wewe ukipewa madaraka itakuwaje? Inabidi tuwaogope watu kama nyie kushika...
  16. E

    Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

    Utalaani sana mwaka huu kwa sababu cdm inahusika? au unalaani kwa sababu haki haitendeki japo kwa asiye kuwa cdm?
  17. E

    Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

    Leo ndo umejua hilo? Waislam walipotungiwa sheria na hao wabunge ulishangiliwa ukadhani uko salama? Basi kazi ni kwako sasa
  18. E

    Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

    Kwani wewe @Makoye 2009 unadhani siasa ni urafiki? Waambie wakae chonjo kukwepa makosa. Ikiwa sauti ya Lwakatare inasikika aliyemtuma kwenda kurekodi ni nani? Alitaka kupima joto? Serikali yoyote duniani haipimwi joto hata kama ni huko unakodhani kuna democrasia. Umesahau ya kupitishwa kwa...
  19. E

    Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

    Kumbe ni tetesi @Anakonda, nilidhani una uhakikia huo, kaisaidie polisi basi kama unadhani cahadema ni malaika hawakosei wewe ni taahira namba moja- kuwaa mwelewe-kama akikosea wa chadema sheria iko pale pale tu. Ikiwa unaona vipi nedna kapime mahakamani kukamatwa kwake. Isije ikafika mahali...
Back
Top Bottom