Search results

  1. varency

    Macho yangu yamepoteza nguvu ya kuona karibu na mbali

    Wapendwa kwa moyo mkunjufu naombeni mnisaidie kama kuna mtu ameshawahi kusumbuliwa na tatizo la macho halafu akapona naomba anisaidie jamani macho yangu yamepoteza nguvu ya kuona karibu na mbali hata TV kuangalia hadi nisogelee, simu nayo kuangalia napata tabu naweza kupishana na mtu nnayemjua...
  2. varency

    Nimepoteza hamu ya kushiriki tendo

    Naomba msaada wanazengo nimepoteza hamu ya kushiriki tendo ghafla yani demu wangu anakuja geto mara 4 mfululizo lakini sina hamu kabisa yani ananifanyia kila kitu michezo yote yani mautundu yote yaani lakini chuma inagoma kusimama nini shida ndugu zangu...?
  3. varency

    Tochi ni tochi tu jamani

    Neno moja kwa mzee tafadhali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
  4. varency

    Simba Sc kwenye ubora wao

    .
  5. varency

    Senegal hawajatutoa kihalali kabisa yani

    .
  6. varency

    Nasumbuliwa na tatizo za uoni hafifu sugu

    habari zenu wakuu natumaini wote wazima humu ndani. ndugu yenu nimekuja kuomba msaada wa tiba au ushauli kwa yeyote mwenye uelewa wa tatizo langu maana najua humu kuna watalaamu wa mambo ya afya. Mimi nasumbuliwa na tatizo la macho lililo nianza tangu mwaka 2017 la kupungukiwa na uwezo wa...
Back
Top Bottom