Search results

  1. kwapijala

    Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania

    akija kuwa kiongozi tena mtatembelea vidole.usijeze na makonda
  2. kwapijala

    Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    mmm kwa hiyo kesi inaenda kwenye wizara ya maliasili na mazingira maana ndio jukumu lao.
  3. kwapijala

    Mwaka mmoja wa Rais Samia, nilichoona Uwanja wa Taifa nimeshangaa. Siasa ina nguvu sana

    Tanzania kuna mambo, ukute mama wala hajui. Ila watu na vitimbwi vyao.
  4. kwapijala

    Maisha ni kuzaliwa, kusoma, kupata kazi, kuoa/kuolewa, kupata watoto kisha yanaishia hapo au kuna kingine?

    maisha ni wewe.ukifanikiwa kuishi kama jamii inavyotaka huko ndiko kufanikiwa kwako katika ulimwengu wa mwili,yaani uwe na shule,kazi,mke au mume,watoto,nyumba,gari huko ndiko kufanikiwa,,,.matarajio ya haya ni kuupa mwili uwezo wa kumtafuta MUNGU KWA BIDII.Ili ufanikiwe kiroho na uje kuwa...
  5. kwapijala

    Vita ya Urusi na Ukraine, inathibitisha Mungu alifanya kazi katika anguko Donald Trump

    brother umepaniki.jitahidi kuwa mvumilivu wa siasa.kama hawezi acha.ndio nyie mnakufa huku unatembea maana unakuw na mambo mengi.
  6. kwapijala

    Duniani kuna watu wana bahati sana, Dkt. Mpango hakupanga awe mwanasiasa lakini leo ndiye Makamu wa Rais

    wewe ni mpuzi.shida una chuki za kisiasa na hilo ndio tatizo lako
  7. kwapijala

    CHADEMA kushinda uchaguzi 2025

    sasa wewe umetoka wapi na mambo ya katiba.mbona hiyo ni mada nyingine tena jaman mbona mnachanganya mambo
  8. kwapijala

    CHADEMA kushinda uchaguzi 2025

    hapana kuna wakati tuwe tunakubali.mama yuko vizuri mbona mlikuwa mnalia kuwa democrasia wanaiua.mama karudi na anaweka mambo sawa bado mnaloloma,na hii inatuonesha kuwa mwafrika hatupendi democrasia
  9. kwapijala

    CHADEMA kushinda uchaguzi 2025

    Mmmm hapana utafiti wako ni feki.kwa upande wangu naiona CCM iko vizuri kuliko nyakati zote.sababu ni nyingi sana.moja wafanya biashara wako vizuri,wafanyakazi wako vizuri,sera za nje ya nchi imekaa vizuri,mabenki kupunguza liba ya ukopaji hili mama limemwongezea kuaminika sana,mzunguko wa pesa...
  10. kwapijala

    Licha ya kwamba nami nashangaa kama wengine lakini namuamini Rais Samia

    Mi naona ni mambo madogo sana.na shishangai.na Mama yuko vizuri sana,tumpe miaka mingi kama kumi tutakuwa mbali.
  11. kwapijala

    Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Naunga hoja na tumchelewa sana.mbongo kuendesha makampuni ya umma hatuna uzalendo.ni heri tu tubinashishe tuwe tunachukua kodi kila mwezi
  12. kwapijala

    Duniani kuna watu wana bahati sana, Dkt. Mpango hakupanga awe mwanasiasa lakini leo ndiye Makamu wa Rais

    Yuko vizuri sana.ongea yake tu unajua kuwa huyu ni mcha Mungu.
  13. kwapijala

    Peter Msigwa: Niko tayari kufukuzwa CHADEMA kwa sababu ya suala la Ngorongoro

    chadema hawana uvumilivu vitu vidogo
  14. kwapijala

    Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    katika watu wasiojitambua wewe ni miongon.mambo ya siasa za ndani imeingiaje hapa
  15. kwapijala

    Hotuba ya Rais wa Urusi imeilenga Tanzania?

    kwa hiyo mmezidiwa kwa propaganda.ndio mtaweza vita.basi wako juu kila kitu.yaani unatia aibu.
  16. kwapijala

    Redio zetu zimetawaliwa na vipindi vya michezo

    sijui tunaenda wapi.zaman redio ilikuwa na vipindi vya kilimo,.twende shamban,faida za ufugaji.siku hizi ni mpira kutwa nzima pumbavu
Back
Top Bottom