Search results

  1. M

    Kuna binti nataka kumsaidia mdogo wake je, naweza kumdo huyu binti?

    Wadau naomba msaada wenu huyu binti ana mdogo wake (me) anaumwa jino. Nimejaribu kumtuma aende kwa baba yk kama anaweza kumgharamia matibabu, binti ameniambia kuwa baba yake hana uwezo. Je nikitoa msaada bila mzazi kujua itakuwaje?
  2. M

    Jamaa kalizua anaomba msaada

    Habari zenu wakubwa. Kuna jamaa yangu amekuwa akiishi na binti mwanafunzi wa kidato cha kwanza tangu mwaka jana agost sasa baada ya wazazi wake kugundua kuwa hajatulia,wakamwambia kuwa hawana mpango tena wa kumsomesha,akipata mume aolewe. Jamaa hakufanya kosa,kweli kamuweka ndani binti...
  3. M

    Upatikanaji wa leseni mpya za madereva imekuwa ulaji kwa matrafik

    Leo nasafiri na gari moja la abiria linaloelekea vijijini huku ruvuma songea.kama kawaida mdahalo kt y drv n trfk ulnz hofu yangu ni kwamba inaonekana hz lsn zmchlwshw kw mksd ili kwp ulaji hawa polis wakuu hl lmkj?
  4. M

Back
Top Bottom