Search results

  1. wamilazo1

    Mwenye nidhamu kubwa ya kuweka akiba ya pesa huishi na mambo mawili

    Mtu mwenye nidhamu ya kuweka akiba ya pesa, mambo mawili humuongoza katika safari yake ya mafanikio 1. Matumizi ya lazima 2. Matumizi ya muhimu Matumizi ya lazima Ni aina ya matumizi ambayo mtu mwenye nidhamu ya pesa au mtu yeyote akikosa hupata madhara na kuhatalisha maisha yake. Mifano ya...
  2. wamilazo1

    Epuka mambo haya kama unataka kuwa mjasiriamali

    Asilimia kubwa ya watu wengi tuna ndoto za kuwa mjasiriamali asilimia kubwa ya watu wengi wana ndoto ya kujiajili na kumiliki biashara zao wao wenyewe. Kila mwenye ndoto ya kuwa mjasiriamali hasa katika biashara ana malengo au wazo la kuanza biashara flani ila katika hili wachache hutimiza...
Back
Top Bottom