Search results

  1. Kop0

    Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

    Lima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna. Pia korosho ya mda mfupi nadhani miaka miwili au mitatu unaanza kuvuna. Kahawa nifuate nikupe update zake me nimelima naanza kuvuna mwaka huu.
  2. Kop0

    Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Kila mtoto ana riziki yake. Pia Africa life expectancy ni ndogo sana. Miumdo mbinu mingi imekaa vibaya kupoteza mtoto na kifo ni rahisi sana. Kama huamini panda majinjah ya dar, mbeya utaelewa nini maana kifo.
  3. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    We unazo! Unajua maana ya mfano? We hata la saba sidhani kama ulifaulu.
  4. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Nao ni ushauri ila naishi nitakavyo. Na roho mbaya yangu ila sijawahi kumgongea kwake. Wewe nawe unaonekana kutwa kwenye nyumba za majirani tuliza miguu ishi kwako.
  5. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Hujakosea aisee. We kwenu hamna wachawi? Hata ukipigwa chale ni uchawi pia. Nipe mrejesho
  6. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Ni kweli jirani ni ndugu ila sio wote. Binadamu pia kaumbiwa kupambana pale inapobidi
  7. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Mkuu ilikuwa zamani. Sasa hivi jirani yako ndo adui yako ingawa sio wote. Mtakuwa majirani wazuri kama life status mnafanana ila mkipishana jamaa hata nikinywa maji ya dukani anaumia jiran gan huyo?
  8. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Huonezi sio style yangu. Nilikuwa najitahidi sana tusigombane nikawa mpole. Jamaa anajidai mbabe wa kitaa.
  9. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Isue jamaa anataka kuwa na mamlaka na kwangu kisa nimemkuta. Nilishalalamika sana kwa mwenyekiti vituko anavyofanya. Mwenyekiti kamwelimisha jamaa hataki kuelewa. Kasema tumalizane wenyewe jamaa kajizima data.
  10. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Mtu akinizingia nimemvumulia sana shoo yake inakuwa ni ya milele. Kama ndo naingia milembe vile.
  11. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Siwezi kujifanya mwema kisa jirani wakati nakwazika.
  12. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Mkuu umeongea vema sana. Huku kuna vishorobo vinajidai vina busara sana kumbe ni wabaya sana. Huyu mshikaji kuna siku vijana walikuja kuniomba wafanyie scene ya movie yao kwangu. Wakaniomba nikawaambia waje tu atakuwepo wife me narudi jioni. Jamaa alivyowaona siku ya kwanza kesho wakaja tena...
  13. Kop0

  14. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Poa poa anaweza akamla jamaa
  15. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Imekaa vizuri hii
  16. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Ntalifanyia kazi limekaa vizuri
  17. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Dah alafu sijawahi kwenda hata kwa mganga hata chale sina. We vip una chale kweli?
Back
Top Bottom