So what if hivyo vyote vipo halafu kanisa hilo
1. Halimini katika utatu mtakatifu
2. Wanaamini kuwa matendo yetu ndo yatatuokoa na sio neema peke yake
3. Halimtambui Yesu kama Mungu
4. Linaamini sources nyingine ya authority tofauti na Biblia
Ask yourself unataka Ufalme wa Mungu au...
We toa popote unapotaka unachoambiwa hapa ni kuwa ili iitwe zaka ina mahali pake pa kutolewa. Ukiamua kutoa mchango wa harusi,sijui umesaidia yatima au msaada wowote ule wa kifedha we toa ila don't make a mistake of calling it ZAKA.
Ni jambo jema ulilofanya lakini hiyo sio zaka ni sadaka nyingine tu. Zaka inatolewa madhabahuni. Lengo la zaka ni kuendeleza huduma. Kwa mantiki hiyo utapata baraka za utoaji lakini hutapata baraka za zaka kama ambavyo ziliainishwa kwenye kitabu cha Malaki. Ukitaka baraka za kutoa zaka toa zaka...
Upuuzi..... Neno litahubiriwa popote,kuamini ni maamuzi yako. Katika kundi la watu 100 akiamkni hata mmoja tu ni ushindi mbinguni. Ukiona unakereka kusikia neno la Mungu basi ujue shetani kakukamata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.