Search results

  1. G

    Mmea wa Bangi na faida zake kiafya

    Njia bora ya kutumia huu mmea kama dawa ni kama ifuatavyo Kwa wale wenye matatizo ya kuumwa na sikio/masikio hata kama yanavuja, ni kuchukua bangi mbichi kisha unaifikicha na unaweka maji kama matone matatu au manne, kisha unadondoshea sikioni na kisha unatulia kwa muda. . nimefanya hivi kwa...
  2. G

    Mmea wa Bangi na faida zake kiafya

    Inafaa endapo zitatumiwa kitabibu zaidi kuliko mazoea. Maana si kila mtu anaweza kutumia ilimradi tu...na inapaswa itumike kwa kufuata vipimo. Yaani kama ina viti vingi vinavyofanya kichwa kutokuwa na itulivu, basi hivyo vitu vitolewe na kuangalia vinafaa kutengenezea nini cha ziada..
  3. G

    Mmea wa Bangi na faida zake kiafya

    Na inasemekana kuwa, mwaka 2020 kwenye kaburi linalosemekana kuwa kuwa la Solomon, zilikutwa bangi ndani ya chombo cha kifalme. Pia kwenye makaburi ya mafarao wa misri, zilikutwa pia. Hii inadhihirisha wazi kuwa, bangi ni mmea wenye faida za kitabibu na kiuchumi pia
  4. G

    Mmea wa Bangi na faida zake kiafya

    MMEA WA BANGI NA FAIDA ZAKE KIAFYA Mmea wa bangi umekuwa unatumika na baadhi ya jamii za dunia, Afrika na Tanzania pia tangu kale. Kwa Tanzania, wahadazabe wanatumia huu mmea. Mataifa tofauti tofauti hapa duniani yameanza kuutumia huu mmea kwa matumizi mbali mbali yakiwemo matumizi ya kiafya...
Back
Top Bottom