Search results

  1. Eng_Mwakibuti

    SoC01 Usikate tamaa (never give up)

    Habari. Hii ni kwavijana na wapambanaji wenzangu. Hizo picha happy juu Ni safari ya mafanikio ya maisha yangu. Mimi Ni kijana niliye zaliwa kwenye familia masikini, nikasoma katika shule za selikari kwa shida sana. Hatabaada ya kumaliza masomo, sijawai pata kazi ya kuajiriwa. Nimelelewa na...
  2. Eng_Mwakibuti

    SoC01 Nilifeli Darasani, nikafaulu Mtaani

    Ni kweli kidogo kidogo ndiyo mwendo. Nikikumbuka nimeanzia kwa hicho kibanda nasema kweli Mungu yupo
  3. Eng_Mwakibuti

    SoC01 Nilifeli Darasani, nikafaulu Mtaani

    Hao hawakosekani nami nawangoja niwajibu
  4. Eng_Mwakibuti

    SoC01 Nilifeli Darasani, nikafaulu Mtaani

    Hapana hiyo ilikuwa ofisi ya zamani kabla sijaenda chuo
  5. Eng_Mwakibuti

    SoC01 Nilifeli Darasani, nikafaulu Mtaani

    Happy ndipo nilipo anzia kabla sijaenda chuo. Hicho kibanda niyo ilikuwa mtaji wa kupamba. Asantee mkuu. Hicho kibanda ndiko niliko anziakazi now ninaofisi kubwa kuliko hicho kibanda
  6. Eng_Mwakibuti

    SoC01 Nilifeli Darasani, nikafaulu Mtaani

    Habari, hi ni stori ya kweli inayo nihusu Mimi mwenyewe. Nimeguswa kushea na wanajamii Forums, ili kuwatia moyo vijana na watu wengine ambao wanapambana kutoka kimaisha. Kama Mtanzania wa kawaida nilizaliwa katika familia ya kipato cha chini sana. Nikiwa mtoto wa tatu kati ya watoto sita (kila...
Back
Top Bottom