Naamini ni ushindi pia [emoji2] angalau ntasema nilijitahidi, hata kupewa ubalozi si jambo dogo ujueee!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapa daily najiuliza mshindi aliandika vitu gani??? Ambavyo maybe wengine hatukuviandika..... Ila tuwe na imani kwa kuwa mungu hakai mahali palipo na wasiwasi huu ni ushindi wetu sote. [emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dah pole sana mkuu, ila kama ulivyosema watu wengi wanafungua maduka na hatimaye baada ya muda huyafunga maduka hayo kutokana na sababu mbalimbali ikichangiwa na mambo ambayo ni pamoja na :
1.ongezeko la kodi /ushuru kwa bidhaa au huduma
2.kufirisika kwa mfanyabiashara hali inayoweza kutokana...
Ufanye vifuatavyo ambavyo ni baadhi ya njia, au mbinu na vitu vya kuzingatia unapotaka ufanye biashara.
1. Kwanza unahitajika kufanya tafiti katika upande wa masoko kwa bidhaa yako husika.
2. Mtaji wa biashara unayoenda kuanzisha kwa sababu kama tunavyojua huwezi kufanya biashara...
Kwanza niseme kutoka moyoni kwamba sisi vijana tumekuwa ni tegemezi kubwa sana kwa jamii lakini kwa bahati mbaya wengi wetu hatuthamini ukubwa huu tuliopewa na jamii zetu.
Sasa lengo ni kwamba sisi tunatakiwa kuwa mstari wa mbele kulipinga hili na sio vinginevyo
Tunapoona vijana wenzetu...
Hapana ponografia haiwezi kuwa sanaa kwa kuwa haihusishi usanifu wowote ila Unajua huwa tumetofautiana kuna watu wanamalezi mabaya wengine mazuri hivyo wapo wanopamba mambo machafu kwa kuwa walipata malezi mabaya na hata wale wanaokuwa wakilaani vitendo vibaya hawa nao wako upande mwingine wa...
Dah inatokea mara nyingi sana hii. Yaani unakuta wanakupotezea muda mwingi halafu mwishowe dawa hupati wanakuandikia tu kwenye kikaratasi eti kwamba ukatafute kwenye maduka ya madawa. Yaani hapa ndipo ambapo hua najichokeaa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sisi ni vijana na bado tunasafari ndefu sana kuyafikia malengo hivyo tusiwe watu wakukata tamaa kwa kuwa fursa ni nyingi ikishindikana hapa unahamia pale mpaka pale mambo yako yote uliyoyatarajia yatapokuwa yamekaa sawa.
Pia vijana sisi kama taifa la kesho tusiwe watu wa kuridhika mapema na...
Tunajua kwamba maji ni uhai mia ni hitaji la muhimu kwa kila mmoja wetu, lakini kumekuwa na baadhi ya maeneo ambayo yanasumbuliwa na upungufu wa vyanzo vya maji ikiwemo visima mabwawa na hata mito hali inayosababishwa na asili ya eneo hilo la kijographia au hata mabadiliko ya tabia ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.