Asante sana kwa hii thread, nilikuwa nasubiri sana kupata uzi kama huu.yule mama ni special kwa jinsi ambavyo yupo sambamba na his excellency president lowasa.
Ni upuuzi mkubwa kupita kiasi. Kuna watoto wa madarasa mawili tofauti wanasomea kwenye chumba kimoja, wanakaa chini kwa kukosa madawati, baadhi ya shule zina wawili nk. Waache kutuona mazezeta kama wao.
Tatizo sio waziri fulani hafai, tatizo ni mteuaji. Angekuwa ana nia njema asingewapa kina ghasia uwaziri katika wizara nyeti kama tamisemi...mtu ambaye hata namna yake ya kujenga hoja ni ghasia tupu kama lilivyo jina lake. Pinda mara ngapi amepindisha mambo ikiwa ni pamoja na kuvunja sheria ya...
Nawakumbusha watawala kuwa wenzao waliolewa madaraka walianza hivi hivi na matokeo yake wanayajutia hadi leo. Kawaulizeni kina Gadafi (huko waliko) na wanaosotea mahakamani kama kina Mubarak watawaeleza vizuri. RC wa Arusha taratibu kaka, yakikugeuka hayo matendo yako maovu utaiambia milima...
Waziri mpumbavu sana huyu. Hakuna lo lote alillofanya. Ni watu waliovimbiwa madaraka. Watu walioleta mabadiliko ya maana hapa duniani hawajivuni, wanaokula na kuvimbiwa tumbo + kichwa kama nchimbi ndio waliojaa majivuno ya kipumbavu kama yeye. Samahani sana kwa kumtukana huyu mheshimiwa, ni mtu...
Shibuda ni mgonjwa. Chadema wakiacha mambo ya msingi na kushughulika na mgonjwa itapoteza imani tuliyo nayo kwao ya kuchukua nchi wakati wo wote kuanzia sasa. Ugonjwa wa shibuda unaitwa "verbal diarrhoea". Ni ugonjwa unaosababishwa na kukatika kwa mawasiliano kati ya mdomo na ubongo. As it was...
Hata siamini kama huyu taahira ni mbunge tena wa kuchaguliwa. Hotuba ina matusi mwanzo mwisho! Ajabu chama kipo kimya. Haya yachapishwe na kuwekwa kwenye vyombo vya habari ili watu waifahamu zaidi ccm na aina ya viongozi wake.
Funguka mama funguka, asikutishe mtu! Wamejitia kumwaga ugali mama, usichelewe kumwaga mboga. Mama Nyoni lete raha mama. Watanzania zaidi ya 98% TUNAVUMILIA kuwa watanzania badala ya kujivunia kuwa watanzania. Teremsha data madam, after all you have nothing to lose!! Ni majira kama haya tulikuwa...
Mkuu umenena hasa. Mimi huwa siwapendi kabisa watu wa ccm ila mwanri anaonekana wazi ana tofauti kubwa na wana - ccm. Pinda haokoti kitu kwa mwanri. Ni pinda kama kumi hivi ndo utapata mwanri mmoja au twaweza kusema ni kikwete 1,000,000,000,000 ndo utapata dr slaa mmoja.
Kuna babu alitoa mpya, alisema kwa nini Tz inapinga ushoga kwa maneno wakati kwa vitendo ina-practice...alipotakiwa kueleza akasema unapokuwa omba omba tena kwa mwanaume mwenzako kama UK, USA nk ni dhahiri unafanya ushoga. Ni babu alitoa maoini yake. Rais wa kufikirika wa Tz aliomba apewe kura...
Mtu ambaye amechoka kama HR hana sababu ya kujadiliwa hapa. Namshauri aanzishe Chama tokea JANA kwani amechelewa sana. Nampa watu 'makini' wa kumsaidia katika chama, hawa ni Kafulia, Zitto, Shibuda. Hicho chama kitatisha sio Tanzania tu bali ulimwengu mzima.
Kwenye Uchaguzi mkuu ni lazima...
CCM hawana mpango wa kuiachia nchi iende mikononi mwa vyama vya msimu. Ushahidi upo wazi. Lubuva amepewa kazi ya kumleta shemejiye magogoni. Ambaye haungi mkono atafute nchi ya kwenda. Vijana, hatima ya taifa chini ya Shetani aitwaye CCM ni giza nene. Haki yetu hatutaiomba. Tuwe tayari kuitafuta...
Wana JF naomba tuwe makini tafadhali. HR ni zigo la CUF. Kulichukua hilo zigo kama lile jingine linaloitwa Shibuda ni kujitafutia matatizo. Ieleweke kuwa CDM sio ya kusajili 'rejects'! Tunataka viongozi wenye uzalendo wa kweli ambao nchi kwanza ndo kipaumbele na sio pungufu au zaidi. Hawa wote...
hatujamchagua. Ni mteule wa nec chini ya makame. Na tusipokuwa makini el atakuwa mteule wa nec ya lubuva as from 2015. Mtu akikufananisha na ccm amekuua kabisa ki-hadhi.
Hongera kaka Kibanda. Vazi la taifa uchuro gani huo? Nchi haina mwelekeo wo wote katika masuala ya msingi; mambo ya mavazi mwachieni Lundenga na biashara yake feki ya kuwatembeza dada zetu uchi!! Simple minds kama za viongozi wa Magamba haziwezi kwenda mbali zaidi ya mavazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.