Search results

  1. M

    Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Uongo mkubwa. 1.Matokeo gani yanaanza na SP? 2.Angalieni namba za usajili za taarifa ya yeriko na taarifa ya haya matokeo. Namba 2 tofauti. Hizi ni shule mbili tofauti.
  2. M

    Huyu Daktari aliyekuwa anamtibu Inspector Swilla, chooni Mahakamani, alikuwa na kibali Cha Mahakama?

    wewe ndio umetafsiri vibaya. Alikuwa akifafanua kuhusu matibabu yake kwamba yanafanyika huko TMJ na kwamba hii hali tunayoiona ya kwenda chooni mara kwa mara matibabu yake yanafanyika TMJ. Tafsiri ya hapa inabidi uzingatie mazingira. Kwa vile kilichokuwa kinazungumzwa kinaeleweka kwa...
  3. M

    Huyu Daktari aliyekuwa anamtibu Inspector Swilla, chooni Mahakamani, alikuwa na kibali Cha Mahakama?

    Siyo Kweli. Cheti kilionesha kwamba alienda kutibiwa hospitali binafsi ya .... Kibatala akahoji kwa nini hakwenda hospitali ya serikali kama inavyoelekezwa.
  4. M

    Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

    Pengine kama sielewi sawasawa lakini nadhani mashahidi wa utetezi wataletwa iwapo hakimu ataona kwamba washtakiwa wana kesi ya kujibu. Kwa maana nyingine kesi inaweza kuishia hatua hii iwapo mashahidi wote wa jamhuri watamaliza, ikabainika kwamba washtakiwa hawana kesi ya kujibu.
  5. M

    Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

    Hana fedha za kufikisha message yake kwa jamii. Zitakuwa mbio za sakafuni ambazo zitaishia ukingoni.
  6. M

    wapi nipate video za Literature na Fasihi kwa A-Level na O-Level?

    Wada u nahitaji hizo video. naomba kujua naweza kuzipata wapi? nakumbuka niliwahi kuona video ya Things fall Apart, Song of Lawino. wakati huoz teknolojia ilikuwa haijakuwa. zilikuwa katika mikanda ya video ya kizamani
  7. M

    Majina ya mitaa Ujiji: Zitto ataka kuzipiga ukumbini, atulizwa!

    Kwa hiyo Kikao kiliongozwa na Mkuu wa Wilaya au Kaimu Mkuu wa Mkoa?
  8. M

    Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

    Huyu mama ni mfano bora katika utendaji shirikishi na maamuzi yanayojari haki. Ni mama, ni mshauri. Sio siri NI JEMBE HASA.
  9. M

    Mambo ambayo Rais Magufuli ameshindwa mpaka sasa (2015-2017)

    Kuna mapungufu mengi katika andiko lako. serikali ina jukumu la kuandaa mazingira ili kusaidia jitihada za watu wake kufikia malengo. unaposema ameishia kudandia viwanda vilivyokuwa katika mpango unakosea. yeye kama kiongozi alikuwa na uwezo wa kuzuia mazingira ya kuendelea kwa viwanda hivyo...
  10. M

    Kuna mtu anaitwa Bernad amesoma Magu sec anatumia jina la Deogratius Kisandu, akamatwe haraka.

    Kama uko serious kwa nini usiende kwenye vyombo vya Sheria? Vyombo vya usalama uviombe kupitia mitandao ya kijamii wakati hapo ulipo mita cheche tu unakipata kituo cha polisi au vyombo vya habari? Unatuzengua tu wewe.
  11. M

    Daraja la Kigamboni ni White Elephant Project, Hatulihitaji!

    Msaidie Barbarosa kwamba unapokuja na challenge katika jambo kubwa kama hilo angalau jaza tafiti zako au mawazo ya ufafanuzi kwamba halina msaada kwa sababu hii na hii. yeye anaishia kuwaambia watu daraja halitakuwa na msaada kwa lipi? hakuna majibu. Mawazo yako yako sawa lakini kumbuka mji wa...
  12. M

    Spika Job Ndugai anaweza kulikimbia Bunge hili, Kiatu Kinapwaya

    hoja ya kuwa na Jazba naiona. Nadhani washauri wake wa karibu itabidi wamsaidie kwa hilo
  13. M

    Daraja la Kigamboni ni White Elephant Project, Hatulihitaji!

    Mimi siyo Great thinker na wala sijawahi na sitowahi kujitambulisha hivyo ila kama wewe unaona unastahili kuitwa hivyo hiyo ni juu yako! Haya niambie hili daraja litapunguza msongamano wa kiasi gani kwenye huu Mji? Ni asilimia ngapi ya wakazi wa Dar watalitumia kila siku kwenda na kurudi kazini...
  14. M

    Upotevu mkubwa wa pesa NECTA

    Mkuu Nashukuru kwa maaelezo hayo. Ni kweli nimekuwa mbali kidogo na mambo haya. hicho kilikuwa kilio cha waalimu kwa Muda mrefu Mtihani huo wa Kidato cha Pili kusimamiwa na NECTA. hapo naipongeza serikali kwa maamuzi hayo.
  15. M

    Upotevu mkubwa wa pesa NECTA

    wengi wamekupa majibu sahihi hasa suala ya man power na vyumba vya kufanyika kazi. Hata Hivyo utambuwe kuwa Mitihani hiyo haisimamiwi na NECTA yote. NECTA wanasimamia mtihani wa Kidato cha Nne wakati Ukaguzi Kanda wanasimamia Mtihani wa Kidato cha Pili.
  16. M

    Upotevu mkubwa wa pesa NECTA

    umemjibu vizuri sana. vilevile akumbuke kuwa hiyo mitihani inaendeshwa na Taasisi mbili Tofauti. NECTA wanasimamia Mitihani ya Kidato cha NNe wakati Ukaguzi kanda wanasimamia Mitihani ya Kidato cha Pili. Nadhani kwahoja huzo atakuwa ameelewa.
  17. M

    Kwanini T. B. Joshua kaikanyaga ardhi ya Tanzania Pekupeku?

    kama hi hivyo kwa nini alivaa Soksi. si angevua na soksi ili nyayo ndizo zikanyage ardhi? ajoshua 1:3 inasema. kila mahali zitakapokanyaga nyayo za miguu yenu, nimewapa ninyi, kama nilivyomwapia Musa.
  18. M

    Tigopesa ni majanga kabisa kabisaaa

    Nimeshindwa kabisa kumuelewa huyu Bwana. Anamlalamikia nani? Badala ya kushukuru kwamba Tigo wako makini na haraka zaidi kutatua malalamiko ya mteja, anaanza kuwalaumu tigo. Pengine muliomuelewa mtusaidie sisi ambao hatukumuelewa.
Back
Top Bottom