Search results

  1. N

    Ni yupi anatumia nguvu nyingi CCM kwa ajili ya Urais 2015?

    Duu kweli jamaa mkali kinoma.unajua ukiwa na madaraka unakua bize sana sasa alivyo jitoa ktk uwaziri mkubwa amekua free.muacheni aishi kama wananchi wengine kina MENGI.MANJI.BAKHRESA.ebwana daa kweli NGOYAYEEE mtemi.alafu ngoja niwaulize wana jamii.bwana LOWASA hana haki ya kuabudu.?Alafu huyu...
  2. N

    Benard Membe ni nani? Kuna anayemjua zaidi?

    Kabla muda wa uchaguzi kuanza yaani.2015 Ajitaidi aweamejenga barabara ya kutoka mtwara paka newala kwa kiwango cha rami kupitia nanyamba. tandahimba. mahuta. newala.kinyume na hapo.yy BENARD.na kina MKUCHIKA.kina GHASIA.sijui NJWAYO.kazi mnayo.kwanza kunaviongozi kusini madictetor.wanapendwa...
  3. N

    Chonde-chonde chadema

    We vp bwana tukifika mjengoni tunasubiri aje uyo shangingi akitokeza tu tunapishananae mlangoni.yani vikao vikianza tu akija shangingi kikao kimeisha kwa upande wetu cdm.we unajua nn?Tukimaliza vikao twaenda kula whisk kwa mshua pale beach.utakubali kiaina utakuli kiaina.
  4. N

    Mtikila atafuta fedha kumfungulia kesi Pinda...................

    Kama ana vigezo vyote ushahidi wa kutosha buruza mahakamani.kwan kupita bila kupingwa kunakua na namna flan flan babuuu.hata mitume walipingwa sasa waliopita bila kupingwa wote ni zaidi ya mitume?
  5. N

    Ccm mpya!

    Kumbe kunawatu paka leo wanawaza ccm kufa?Utakufa ww ccm iko vilevile na sio ccm pekee hata vyama vingine kama vinaweza kushika (HATAMU)kama ilivyo kwa TAA na TANU paka ww unaona CCM leo.watuletee hoja wenye nchi(Raia)Tukiwasoma ktk code tunawapa ardhi ya tz.
  6. N

    My Opinion: Kati ya hawa watatu LAZIMA mmoja awe rais 2015

    Kwa kurahisisha NGOYAEE presda.SLAA waziri mkuu.mkijidai ubishi CHIF anachukua na kupanga kabinet yake na no one can stop chif.it s masai time.
  7. N

    Ndolanga achezea kichapo msikitini

    Ndolangakumbe bado yumo ktk uongozi kweli noma.kwaiyo wamempiga (njingo)ukimuuliza njingo ni nin?Anjua si wamkunya yule.msikitini kafuata ibada au mpango mzima.
  8. N

    Magufuli aleta daraja kigamboni

    Mshkaji wake sana bwana ODINGA.unajua masihara mengine hayafai. (KUPIGAMBIZI)lilikua neno dogo sana kisiasa si unajua ukipewa nafasi ya kuongea utani kidooogo ktk jambo la msingi.matokeo yake ndio hayo (kidaraja)pombe bwana alinifurahisha sana alipo takakujua watz presha iko vppppppppiiiiiiii!
  9. N

    Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!!

    inakua vp wa Asubui.alafu mmekesha na libeneke.dawa lazma ichanganyike na watoto.
  10. N

    Doctor Slaa ndani ya Mbeya kesho

    Kampen zinatarajia kuanza ndani ya chama.ZITO nae aende nyamga kwa wenje.FREEMA...aende kuMTWARA.siku zote dr alikua wapi?Watu tume kumbuka stori zake jukwaani jicho linamtokaga sana.karibu na kwetu uyole.lakini ktk (ushua) nakumitano tunamtegea KABWE.
  11. N

    Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    Pole sana ndugu yetu.na kifo nilazima lakini inaumiza.RIP.angalia watoto wako.
  12. N

    Mmarekani afanyia kitu mbaya dada yetu wa Kitanzania kamtumia mbwa kumwingilia

    nipeni jina kamili la huyo mzungu alafu nipeni siku 7.muone tamfanya nn huyo shetani.na hukum yake taipeleka kishetani.ajali.kifo ndio saizi yake.nipeni jina kabla ya saa 12 jioni.nawapenda watu hawa ili niwaonyeshe bibi na babu wa kiafrica wameturithisha nn yy si anajua kuzibua wenzie nipe...
  13. N

    Nateseka na ndoto

    Hakuna cha pole kwani ameumizwa?Inakubidi umtafute baba na mama yako kama wapo.alafu wao ndio uwaeleze.ukimaliza kwa wazazi ndio uangalie watakuambia ufanye nn.kama kw padri.shehe.au mganga.kama wote hawapo nenda kwenu.unaijua asili yako?Au unaishi kizungu?Kama unnaishi kizungu mjomba kazi...
  14. N

    Halmashauri ya Jiji la Dar ifute kiingilio stendi kuu ya Mabasi Ubungo

    Tunajadili panton au tunajadili mabasi?Hawa wabunge wa dar sijui niwaite vp.nafikiri wangechukua wao tenda ya kuendesha shughuli ya kivuko ningewaelewa lakin bla bla bla watu wanavuta sigara pakti kw sik shiling ngapi?
  15. N

    Sharo MILIONEA apata AJALI

    Ngoia nikae mbele niwai shoo men.si unajua yaani oooh mama.ajali hainakinga rudi tanga kapumue men au kama vipi parisi.kwaiyo men plasta umebandika ileile au zimeongezeka.pole sana baab.pole baab.
  16. N

    Sharo MILIONEA apata AJALI

    Ngoia nikae mbele niwai shoo men.si unajua yaani oooh mama.ajali hainakinga rudi tanga kapumue men au kama vipi parisi.kwaiyo men plasta umebandika ileile au zimeongezeka.pole sana baab.pole baab.
  17. N

    Chadema kupiga mbizi maandamano ya Kigamboni kesho?

    Utakubali kiaina utakubali kiaina.magufuri anawapenda sana wakazi wa kigambonino.ameshauri kupiga mbizi imekua nongwa mbona juzi bonde la jangwani watu wamepigambizi.alafu kupiga mbizi bigdill anaweza kupatikana bingwa wa kuogelea akatuwakilisha olimpiki..mr pombe bwana good idea.
  18. N

    Kaka na Dada wapeana mimba

    Wana jf kunajambo moja nataka kuwakumbusha.mambo haya yalitoke zama za nyuma sana na paka leo yanatokea.lakn ktk familia ambayo hakuja tookea jambo kama hili likija kutokea kunakua na mambo ya asili ktk maisha yao.kwiyo msiwtenge.
  19. N

    Rostam atakiwa kulipa kodi ya billion aliyefanya tathimini afukuzwa kazi baada ya kukataa kudanganya

    Rostam tayari mungu kambariki jamaa pesa anayo alafu ameajili watanzania anawalipa mishahara.ww ulie msafi umesaidia nn ktk nchi.rostam kulipa kodi ya biashara zake tayari amesha toa mchango ktk uchumi wa nchi.sijui ni mtazamo tu.
  20. N

    Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

    Huyo76 ninani?Alafu kama kuna ukweli juu ya jambo hili bac kazi kwelikweli.
Back
Top Bottom