Search results

  1. M

    Vifaru chapa leopard vina kitu gani hasa special?

    Kwa nini Ujerumani anasita kupeleka leopard 2 Ukraine 1.Anaogopa kukiuka mikataba aliyo isaini ya vita vya pili ya dunia ya kutojihusisha direct na vita ambavyo inakua na viashiria vya kutokea kwa vita 3 ya dunia. Ikumbukwe kua Ujerumani katika vita ya 2 ya dunia chini ya Hitler ilitengeneza...
  2. M

    Physics kwa ujumla kitaifa form wamefauluje

    hata ss kwetu physics inamanufaa makubwa sana 1. Barabara na majengo yetu yanajengwa kwa knowledge ya physics 2. Vyombo by usafiri vinatengezwa na kuendeshwa kwa knowledge ya physics 3 viwanda vyetu vinategemewa kuendesha na watu wenye knowledge ya physics Kusema physics ifutwe ni sawa na...
  3. M

    Physics kwa ujumla kitaifa form wamefauluje

    hiyo simu unayotumia kucomment ni physics tupu......kaa fikiria tena
  4. M

    SoC02 Baada ya kupelekwa Kigoma kikazi kama adhabu, niliibadili na kuwa fursa kwangu

    umenikumbusha mbali sana mkuu hayo maeneo hususani kakonko kukaa kule kunajitaji roho ngumu sana ila ukipazoeya panakua pa kawaida. Fursa kule zipo kama gunia la mahindi kutoka kwa warundi ni 30000 tu..... ukiweza kuleta mjini unapiga pesa ya maana
  5. M

    SoC02 Usimdharau binadamu mwenzio

    vunja ukimya ongea na mjomba...... lakini kabla ya kuongea na mjomba embu tafuta ukweli juu ya jambo hili kwa ndugu wengine( kwa upande wa baba na mama) huwenda ukapata ukweli juu ya jambo hili.
  6. M

    SoC02 Kwenye Ujasiriamali wangu, nalenga kwenye bidhaa na huduma zangu nipate sarafu na sio noti

    ni kweli biashara za kulenga sarafu zinafaida sana. Changamoto zake ni kama 1. Uzalishaji kama uzalishaji ukiwa mkubwa na wa uhakika basi faida itaonekana. Mjasiriamali anapaswa kuhakikisha uzalishaji unakuwa ni wa kiwango cha juu. 2. Ubora wa bidhaa bidhaa inayozalishwa inapaswa kuwa bora na...
  7. M

    SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

    Pole sana Mkuu. Hata mm nina tatizo kama lako, sikuzaliwa nalo bali nimelipata nikiwa shule (advance). Nashukru ALLAH nimefanikiwa kumaliza chuo mwaka 2019 lakini mpaka sasa imekuwa changamoto kupata ajira. Hatupaswi kukata tamaa naamini ipo siku neema kubwa sana itatufikia na kusahau machungu...
Back
Top Bottom