Search results

  1. B

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    Sijawahi Kaka nasijasema soko la nje ni rahisi na mimi nipo nje naona watu wanavyopambana kuleta mazao huku na kupata faida kila kitu kinawezekana ni kupambana tuu usiwatishe watu ndugu
  2. B

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    Sio kweli kaka tunajifunza vingi kwenye mitandao kwa bure na vinatusaidia kusonga na maisha.
  3. B

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    Kaka labda umesoma hukunielewa ujumbe wangu na pia kuuliza Soko si mbaya kwasababu kuna watu maybe washafanya na kuelewa hili zao vizuri ndio maana unatakiwa kufanya research kwa jambo lolote ambalo ujalianza kujua undani wake na sio kila kinacholiwa kinapendwa na wengi.
  4. B

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    ok safi sana ulichukua kwa biashara? au kwa kula nyumbani lol
  5. B

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    Ooh okay sijafuatilia mkuu hiki kilimo na soko lake but uwoni kwamba kuexport ni faidi zzidi..vipi upo kwenye kilimo hiki tupeane madini?
  6. B

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    okay nawana export ?
  7. B

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    Nilikuwa na watch Youtube kuhusu mkulima wa Apple Nchini Kenya anaitwa Wambugu (Wambugu Apple) nimekuwa inspired aisee, ingia Youtube andika Lynn Ngugi Wambugu apple utaiona, na anatoa darasa free of charge, kuna mtu yoyote ni mkulima wa Apple atupe dondoo la soko hapa Tanzania?
  8. B

    Elglysate 480sl kiuagugu naweza kuipata wapi?

    Naweza kupata wapi hiyo dawa na bei yake kwa lt 20? Please minipo Nkwini Same.
  9. B

    Tenda ya kusupply kwa wachina wa SGR

    Mkataba ulikuwa wa manager au hotel kaka maana mkataba ndio kila kitu
  10. B

    Ufahamu wa tofauti wa aina za play station

    Umemuelezea vizuri sana but kwa wenzetu Huku slim inabei kuliko pro but pia integemea storage.
  11. B

    Ufahamu wa tofauti wa aina za play station

    Sorry hiyo ni PS2 nimekosea kuappload but nicheki Whatsapp nitakutumia PS4 nazingine utakazihitaji
  12. B

    Ufahamu wa tofauti wa aina za play station

    But hii ni slim portable na ndio zenye bei kubwa kuliko pro…ni Cheri +447746604669
  13. B

    Ufahamu wa tofauti wa aina za play station

    Nitakufanyia 600,000 kwa pro used from Uk plus 1 controller and 2 games
  14. B

    Ufahamu wa tofauti wa aina za play station

    PlayStation Slim ni ndogo na kuna Kubwa kazi ni ileile kama iPhone kuna iPhone na iPhone pro max..Ps2 ps3 matoleo ya zamani hayo chukar ps4 ukiitaji Niambie nakutumia kutoka Uingereza na Mzigo wa PS4 natuma next month inshallah
  15. B

    Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Kabisa kaka Wazo zuri na Ema zangu 60 nishamaliza kulisafisha Alhamdulilah nasubiri Mvua ziishe nikatandaze Mkonge inshallah
  16. B

    Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

    Ndio maana yake yaani unazeeka after 12.yrs baada ya kuupanda
  17. B

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mtaa wa samora karibu na ppf tower mtaa wambele Kuna wahindi wanauza kwa jumla
  18. B

    Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    kwahiyo Mkuu hiyo 12M mgodi haitoshi mbona nasikia kuna kalasha used mpaka 4M
Back
Top Bottom