Search results

  1. A

    Ukubwa gani wa madirisha ambao hupendezesha nyumba?

    Habari wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia. Wapo walionishaur niweke ft 5 yaani mita 1.7 wapo wengine wamenishaur ft6/mita 2 nawengine wamenishaur niweke madirisha mawili mawili ya ft...
  2. A

    Msaada: Simu yangu haiingiz chaji ikiwa imewaka mpaka izimwe

    Kama nilivyoeleza hapo juu simu yangu Aina ya Tecno park 5 Ina tatizo la kutopokea chaji ikiwa imewashwa takriban wiki Sasa. Njia pekee ninayotumia kwa Sasa Ni kuizima tu kila ninapohitaji kuichaji. Tatizo Hilo lilianza Mara tu baada ya kuja silent notification ya Android system kwenye simu...
  3. A

    Kwa nini bando la internet ya Zantel linachelewa kuisha kulinganisha na mitandao mingine?

    Habari wadau, Mm Nina simu kubwa mbili ambazo natumia laini tatu za mitandao tafauti Zazntel,Vodacom na halotel. Laini hizo zote nazitumia kwa matuizi ya internet ambapo Mara nyingi huaga naweka salio la 1000 kwa kila laini lakini nilichogundua bando la zantel Mara zote huaga linachelewa...
  4. A

    Naomba ushauri wa ujenz kwenye eneo dogo

    Habari zenu wadau? Natumai hamjambo wakubwa heshima kwenu. Nina kiwanja changu kidogo ambacho kina 34ft urefu 22ft upana Ambacho kipo KatiKati baina ya nyumba na nyumba. Sina mashaka na urefu wa kiwanja kwa sababu mbele Kuna njia na nimeshaacha nafasi ya kutosha lakini napata shida kwenye...
Back
Top Bottom