Ukianglia historia kwa kiasi kikubwa utakuta iran. Imepata madhara sana kutoka kwa Israel.
Ukweli ni kwamba Israel imeua wairana wengi sana hasa viongozi ndo wanadili nao,
Wale watu muhimu sana kwa ustwawi wa iran katika ulizi.
Kama wanasayansi wengi wa iran waliuwawa na Israel
Missile zao zinaspees ndogo sana.
Ndo maana drone zaidi ya 80.
Na makobola kadhaa zilialibiwa Saudi huko na zingia Iraq pamoja Syria hata kabla hazijafika Israel
Yao wanataka kugawa Kongo.
Ila ulikuwa mpango wa USA miaka ya 90. Na hicho ndicho kisababishi cha Second congo war. Baada ya kabila kugoma makubaliano ya kugawa congo. USA walimsupport Pk na kurudi drc kuanzisha vita ya pili , walikamata congo yote , ponea ya wacongo ilikuwa ni Angola chini ya...
Unajua m23 agenda yao haina maana hata kidogo.
Kwa kawaida kwanza serikali uwezi kufanya maongezi na waasi wanaosaportiwa na nchi jirani. Maana ndani ya m23 kuwa RDF wengi sana , wachache sana ni wacongo. Wanavaa uniform za RDF, helmet za RDF pamoja na Vest za RDF. Kuna kipindi vilikamwatwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.