RIWAYA: Fedha Au Risasi
MTUNZI: Emmanuel Phiri
NAMBA: 0758 195 890
SEHEMU: 03
Japokuwa alikuwa mdogo lakini alielewa kuna mchezo mchafu unaendelea dhidi yake. Kipindi akiendelea kutafakari, alisikia kelele nyingi nje ya geti lao. Walikuwa raia wengi waliofika eneo lile kushuhudia nini...
RIWAYA: Fedha Au Risasi
MTUNZI: Emmanuel Phiri
NAMBA: 0758 195 890
SEHEMU: 02
Alijitazama vizuri akagundua amevaa mavazi ya nyumbani tofauti na alivyokuwa awali na nguo za shule. Akili ikaenda mbali sana, akahisi labda amepita masaa mengi lakini alipotazama saa yake ya mkononi ikamuonesha...
RIWAYA: Fedha Au Risasi
MTUNZI: Emmanuel Phiri
NAMBA: 0758 195 890
SEHEMU YA 01
Aliamshwa toka usingizini kwa teke kali la mbavuni, akakagumia kwa maumivu makali yaliyosambaa mwili mzima kama siafu ashambuliavyo kitoweo chake. Sauti kali ya kukwaruza ililiteka anga, sauti yake ya asili ilikuwa...
#MATEKA
Licha ya baridi kuwa kali kwa sababu ya mvua iliyokuwa ikiendelea kunyesha, lakini bi Nadia Ali Rayan aliendelea kutokwa na jasho huku moyo wake ukimwenda mbio kama mtu aliyekimbia mashindano ya mbio ndefu. Hakuwa tayari kushuhudia mtoto wake akiangukia mikononi mwa vyombo vya usalama...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
CAPE TOWN, AFRIKA KUSINI
Ingawa hali ya hewa ilikuwa tofauti na nchi aliyozaliwa na kukulia lakini alikuwa ameanza kuizoea. Kipindi cha wiki moja alichokaa jiji la Cape Town kilitosha kutengeneza mazingira ya kuzoea hali ya hewa ya jiji lile. Japokuwa...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
( KIPANDE CHA KUMI NA MBILI)
BAADA YA MWAKA MMOJA (RWAMA MWISHO – 1996)
Mziki laini uliendelea kuliteka anga lote la chumba kilichojaa midoli ya watoto, siyo kwamba chumba hicho kilimilikiwa na mtoto, hapana, bali kilimilikiwa na...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA KUMI NA MOJA)
RWAMA MWISHO – MWAKA 1995
Baridi kali iliendelea kupenya katika mishipa ya msichana mrembo aliyeinama chumbani kwake akilia kilio kikali kilichoambatana na kwikwi, siyo kwamba alikosa mtu wa kumtuliza au...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA KUMI)
Yalikuwa majira ya saa tatu usiku. Japokuwa ulikuwa wakati wa giza lakini mji uling`aa mataa kila kona. Giza lilipigwa kikumbo kizito na mwanga uliozalishwa na mataa ya barabarani, nyumba pamoja na vyombo vya moto...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA TISA)
Baada ya kumuelezea mkuu wake wa kazi aliambiwa amtumie namba hiyo ili wajaribu kufanya mawasiliano na makao makuu ya mtandao huo wa laini za simu. Waliamini kwakuwa laini nyingi zilisajiliwa kwa alama za vidole...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA NANE)
Giza lilianza kuufukuza mwanga taratibu, mwanga haukuwa na ubishi wowote kwa sababu ulikuwa umeshatawala kipindi chake cha kuanzia asubuhi mpaka jioni. Sasa ulikuwa usiku, zamu ya ndugu yake giza, ndugu asiyeweza...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA SABA)
Toyota Probox nyeupe ilifunga breki jirani kabisa na nyumba aliyopanga David Samson na mpenzi wake, kisha msichana wa makamo anayekadiriwa kuwa na miaka ishirini na saba akashuka kwa utaratibu uliotukuka, msichana...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA SITA)
Upepo wa kiangazi uliendelea kuchafua mazingira, ulichukua takataka toka sehemu moja na kupeleka sehemu ya pili. Hali hiyo haikuwapendeza raia wengi wa mkoa wa Rwama Mwanzo hasa akima mama waliokuwa na majukumu ya...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA TANO)
MIEZI KADHAA NYUMA
Upepo mwanana uliendelea kupepea, haikuwa kawaida kwa upepo wa namna ile kupepea majira kama yale, saa mbili na nusu usiku. Mapazia ya sebule ya mkuu wa kitengo cha kupambana na kudhibiti madawa...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA NNE)
Ilikuwa furaha na nderemo kwa binti wa Kiarabu, Nasrat Abdul al Aziz. Alikuwa akimsubiri kwa hamu mtoto wa mzee Masiya, aliamini akimpata mtoto huyo utakuwa mwanzo mzuri wa safari yake ya matumaini. Alitabasamu...
RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA TATU)
Japokuwa giza lilikuwa totoro lakini halikumaanisha chochote katika akili ya David Samson, alitembea peke yake barabarani huku akiwa na tofauti ndogo na chizi, alikuwa akiongea peke yake. Akijiuliza maswali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.