Search results

  1. G

    Software Development- Part 4

    Somo hili linaendelea toka :- Software Development- Part 3 Katika sehemu hii tutakusanya maswali na maoni ..... Kama umefanikiwa kufanya installation Reply hii post ili nijue... Tukipata 50 replies za waliofanikiwa ku-install tutaanza somo lenyewe................... Kama umeshindwa uliza...
  2. G

    Software Development- Part 3

    Somo hili linaendelea toka :- Software Development- Part 2 Installation Install Daemon Tool Lite ambayo ulii-Downloadn toka Part 2 Anzisha Daemon Tool lite kwa kufuata taratibu zifuatazo Right Click Daemon Tool Lite Icon ..... Hii icon inapatikana Kulia chini Katika Computer yako angalia...
  3. G

    Software Development- Part 2

    Somo hili linaendelea toka :- Software Development- Part 1 Vitu unavyohitaji katika somo hili ni :- 1:- Microsoft Visual Studio 2010 Express Edition 2:- Daemon Tools Lite Microsoft Visual studio itatupatia Compiler ya C#... Daemon Tools Lite itatusaidia kusoma .Iso file ( Download ya...
  4. G

    Software Development- Part 1

    Salamu wadau .... Wengi wetu tumekua tukitumia software mbalimbali katika maisha yetu...nna uhakika baadhi mtakuwa mmejiuliza zinafanyaje kazi na zinatengenezwa vipi ... Hii itakuwa ni fursa adhimu kujifunza kutengeneza software..... Kuhusu mimi... nna uzoefu wa miaka miwili katika...
  5. G

    Baraza la Kiislamu la Maadili lalaani kuzomewa Dk Magufuli

    Hapa JF baadhi hoja zinawekwa upande wa Uislamu au Ukristo kwanza kisha ndio zinawasilishwaa au kujibiwa kila la heri
  6. G

    Jukwaa la wapagani tunataka Rais ajaye wa Zanzibar atoke Bara

    Siku hizi JAMII FORUM baadhi ya watu hawatumii tena akili kuwasilisha au kujibu hoja....hoja inawekwa upande wa uislamu au ukristo kwanza kisha ndo inawasilishwa au kujibiwa... kila la heri enyi msioona mbali
  7. G

    Roho za Kinyama..

    Wewe hembu tumia akili zako japo kidogo kabla ya kujibu, usitake kuleta migongano kati ya waislamu na wakristo ... kikiwaka hapa tanzania wewe utafaidika nini ? Kwanza jiulize maswali yafuatayo 1.Ingekuwa uislamu ndo umeruhusu huo unyama mbona tunaona waziri hapo amemtembelea huyo mtoto au...
  8. G

    Hii website inamdhalilisha Mwl. Nyere kwa nini serikali haiifungii?

    Haya wakuu nadhani FF ujumbe ushamfikia kilichobaki ni kufanya utaratibu wahusika wataarifiwe kuhusu hii tovuti
  9. G

    Hii website inamdhalilisha Mwl. Nyere kwa nini serikali haiifungii?

    It is known that the holocaust was so horrendous that 100 Muslims were baked to death in tanuri (the copra-kiln) at Bambi. Following the Muslims holocaust, Abeid Karume (1905-1972), born in Nyasaland (now Malawi) became the President of the People's Republic of Zanzibar. Karume secretly...
  10. G

    Hii website inamdhalilisha Mwl. Nyere kwa nini serikali haiifungii?

    Una uhakika yupo motoni ? Kivipi ? nadhani hiyo ni siri ya M/Mungu au uansemaje ?
  11. G

    Hii website inamdhalilisha Mwl. Nyere kwa nini serikali haiifungii?

    Kuwa intellectual hakumaanishi uandike makala za kichochozi kama hizo ..... sasa huyo jamaa nia yake ilikuwa nini kama sio kuanzisha mifarakano kati ya wakatoliki na waislam ?
  12. G

    Hii website inamdhalilisha Mwl. Nyere kwa nini serikali haiifungii?

    Nyerere, a devout Catholic saw that the Islamic Zanzibar state, a threat to Christianity. He masterminded a clandestine movement for the so called Zanzibar Revolution under the leadership of John Okello, a radical Christian from Uganda. It was not only a prelude to the creation of Tanzania...
  13. G

    Hii website inamdhalilisha Mwl. Nyere kwa nini serikali haiifungii?

    Mwalimu Nyerere - Articles, Transcripts and Legacies | Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika Hiki ni kipande kutoka katika hiyo website Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika "Without any question, the manner and the implications of the union between Tanganyika and...
Back
Top Bottom