Hapa Waziri amekosea.
1. Ina maana huko polisi hawapandishwi vyeo kuwa makududi.
2. Ina maana elimu sio msingi kwenye kazi za jeshi la polisi.
3. Jeshi la polisi litawezaje ku-operate ktk era ya technolojia kama waajiriwa ni failures.
4. Je si vema basi wachukue darasa la 7 kabisa ieleweke.
5...
Naelewa mashaka kwa wahitimu wapya kukosa kazi. Lakini kitu kimoja kinachowaponza vijana ni kutokuwa flexible ktk strategies zao. Hawasomi alama za nyakati. Unapoona kuwa muelekeo wa sera za serikali umeelemea upande fulani, basi elekeza nguvu zako huko. Kwa mtani ukiwa na div 2 au 1 ukachagua...
Sensa (kujua idadi ya watu) ni muhimu kuwa nchi ktk kupanga mambo mengi kiuchumi na kijamii.
Lakini ninatoa wazo. Tujenge mifumo ambayo itatupa idadi ya watu Bila kuwa na ulazima wa kuwahesabu watu. Mfano mifumo ya data za vizazi na vifo iboreshwe mpaka vijijini. Gharama ya sensa moja tuu...
Kuna ukweli kuwa ingekuwa vema itangazwe kuwa ni chief wa eneo walilomsimika. Ingeleta heshima zaidi. Kusema ni wa nchi mzima, wamekosea, yeye ni Raisi wa nchi yote lakini uchief ni wa eneo eneo na kabisa fulani.
Labda kama hao machief wa makabila yote walikaa na ku-deliberate hilo.
Tuwe makini...
Askofu Gwajima amefanya kitu sahihi. Kupewa kiti kingine na kubadilishiwa mic (jambo ambalo hakuna aliyelitegemea) linampa confidence ya kutodhurika kama kuna aliyetaka kuvitumia vitu Hivyo kumdhuru.
Mimi naona ni kitu kizuri ili kusijekuwa na na hisia za kudhuriwa.
It's ok.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.