Search results

  1. Kamcheche

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na msimu huo huyo City alifungwa fa,epl na uefa,bahati ya namna gani hiyo
  2. Kamcheche

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Tukio mnalotukanana ni kama hili,kipa akitoka mchezaji wa time iliyofungwa ndiyo anahesabika kama kipa
  3. Kamcheche

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Alikosa penati kwenye nusu fainali ya uefa kati ya Chelsea vs Barcelona 2013
  4. Kamcheche

    Don Shkuba Yupo Huru

    Mtama mchungu,mluguru aliyevurugwa
  5. Kamcheche

    Carabao Cup 2023: Man United yapangwa kuivaa Newcastle United

    Bado yupo kwenye uefa, fa na ligi kuu
  6. Kamcheche

    Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

    Alikuwa anakumbuka jinsi anavyoirukia kama nyani na kwa jamaa itakuwa alimfanyia hivo
  7. Kamcheche

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hata lile goli alilofunga Drogba mechi ya kwanza assist ilitoka kwa Ramirez mkuu,lile goli alilowafunga Barcelona nalirudiaga mara nyingi
  8. Kamcheche

    Nina wasiwasi na mke wangu...

    Hiyo safari itakuwa ni yayayayayayaya
  9. Kamcheche

    Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

    Kuna jamaa tulikuwa tukiishi nae nyumba moja ya kupanga,aligundua mkewe ametafunwa kupitia mawasiliano ya kwenye simu,jamaa alimpiga mno yule mwanamke siku hiyo,wakayamaliza Ila ndani ya wiki nzima mwanamke alikiona cha moto, walikuwa wakipiga stori wanacheka wenyewe, ghafla jamaa akikumbuka...
  10. Kamcheche

    Simba tulizeni mdomo mkubwa ni mkubwa tu

    Labda kubwa jinga
  11. Kamcheche

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dah
  12. Kamcheche

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Braza upo serious kabisa kante hajawahi kutuangusha kwenye mechi kubwa,hivi uliitazama vizuri ile mechi ya pili na real Madrid,magoli yote mawili ni makosa ya wazi ya huyo kante
  13. Kamcheche

    Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

    Siyo kabla hajazikwa mkuu, wakwake ataolewa akionekana jamaa ana dalili ya kupona ugonjwa unaomsumbua
  14. Kamcheche

    Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

    Arsenal nilihisahau kidogo,nayo tuligawana nayo point,mechi ya kwanza tulimfunga nae akaja kupata ushindi mechi ya marudiano
  15. Kamcheche

    Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

    Ukiacha man city ni big six gan mwingine alitufunga?
  16. Kamcheche

    Simba mjitahidi kumtafuta mbadala wa Shabalala na sio Gadiel Maiko

    Simba wamemchukua Gadiel kutoka Yanga baada ya kumaliza mkataba
  17. Kamcheche

    Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

    Hizi subs si zinafanywa kwa awamu tatu, mbona Simba leo wamefanya kwa awamu ine?
Back
Top Bottom