Search results

  1. CrazenKai

    Phone Tapping I: Faida, Hasara | Ku-tap, Kucheki Status, Ku-Untap Number.

    Habari, Kuna hili swali, la kama kuna uwezekano wa mtu kusikiliza simu zako, je, utajuaje kama zinasikilzwa au meseji zinasomwa...na ukijua unawezaje itoa? Kwanza, issue nzima inaitwa, "Call Forwarding", na hii ni pale, aidha meseji au simu unazopokea, zikatumwa kwenye namba ya mtu mwingine...
  2. CrazenKai

    Hacking 101: Misamiati Muhimu na Maana Zake

    Habari, kwa wale ambao wana interest na mambo ya udukuzi, hizi ni baadhi ya basics unazopaswa kufahamu; [emoji626]Adware − Ni software iliyoundwa ili kulazimisha matangazo ya aina fulani kuonekana kwenye mtambo wako. (Aidha PC/Desktop/Simu) [emoji626]Attack − Uvamizi. Ni kitendo kinachofanywa...
  3. CrazenKai

    Mgeni, Naomba Kukaribishwa

    Hi, CrazenKai naomba kukaribishwa. In love with Games, PC's & Music.
Back
Top Bottom