Sija mislead mkuu, naona concept ya temporary storage kujaa na as a result ku crash, inajirudia. Maelezo yako yako kitaalamu, yangu simple kwa mtu asio na idea.
Ahsante. Sehemu ingine kwenye misleading nako unaweza kosoa, 'kitaalamu.'
Habari,
Kuna hili swali, la kama kuna uwezekano wa mtu kusikiliza simu zako, je, utajuaje kama zinasikilzwa au meseji zinasomwa...na ukijua unawezaje itoa?
Kwanza, issue nzima inaitwa, "Call Forwarding", na hii ni pale, aidha meseji au simu unazopokea, zikatumwa kwenye namba ya mtu mwingine...
Habari, kwa wale ambao wana interest na mambo ya udukuzi, hizi ni baadhi ya basics unazopaswa kufahamu;
[emoji626]Adware − Ni software iliyoundwa ili kulazimisha matangazo ya aina fulani kuonekana kwenye mtambo wako. (Aidha PC/Desktop/Simu)
[emoji626]Attack − Uvamizi. Ni kitendo kinachofanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.