Search results

  1. L

    Nationa Isurance Corporation(NIC) ni washenzi

    kwa wale waliopeleka application zao NIC nasikia zilikua zinawekwa ktk dustbin,ivyo inakuaje mtu amesoma zaidi ya miaka kumi shule alafu chet chake anakitupa ktk dustbin kama akijui alaf anasema anaaply kazi?
  2. L

    Bado ananitesa alaf sipend kuachana nae

    naombeni mnishaur nimbadilishe,maana kama ni hivyo nitaachana na wengi.yani apa najuta kupenda,i wish kama angekua humu hazisome hizi msg zangu.Maana hata nikijalibu ku mface anakua mkali yani kama hajui tatizo linalonisibu
  3. L

    Bado ananitesa alaf sipend kuachana nae

    hivi kwanini mtu unapendwa alaf unakua na pozi? namis meseji zake, namis kis zake, namis kilakitu,najua kama ananipenda lakin kwa nn ananitesa sana
  4. L

    Anautesa moyo wangu

    guys mi nina mpenzi ambaye tuliachana then tukaludiana,tena kwa kuwaacha wapenzi tuliokua nao.The problem ni kwamba nashangaa sasa ivi mwenzangu hanijali tena.nikimtumia msg ajibu,amekua mkali nikiongea nae na wala ajisikii kunipigia.yan naona kiufupi ajisikii kuhusu mimi,nampenda sana sijui...
Back
Top Bottom