Search results

  1. Brone

    Hospitali nzuri kubadili meno ya bandia, Dar es Salaam

    Hali zenu Ndugu zangu hakika mpo sawa kiafya kwa uwezo wa Mungu Kikubwa Naomba mnijuze hospital nzuri yenye huduma za Kubadilisha meno Na kuweka bandia inagharimu kiasi gani cha pesa. Naombeni Msaada mwenye kujua, Nipo Dar Es salaam.
Back
Top Bottom