Alikuwa akiwakilisha nafsi yake sio serikali.Nawapongeza wazanzibar kwa kuwa na msimamo katika mambo yao,wamesimamia nchi yao kutambulika baada ya mzozo ulioanzishwa na mkulima bungeni kwamba zanzibar sio nchi,saa hz nani atabisha kwamba znz ni nchi au la.Wameendelea kuwa na wimbo wao...
kama wewe ni mwanamme kamuulize baba yako lini itakuwa zamu yako kulala kitanda kimoja na mama yako.Kama wewe ni mwanamke kamuulize mama yako line itakuwa zamu yako kulala kitanda kimoja ya baba yako
Suala hili ni la watanzania wote tusitafte mchawi,tutafteni suluhu.Meya na wabunge siyo kwamba wanafurahia hii hali.Hata ofsini wanaweza kuorganize mambo mbalimbali kutatua hili tatizo
Mafuriko sio tukio la kuvunja amani,hii ni dharula ambayo hakuna aliyeipanga.Kama watu wakileta uvunjifu wa amani polisi wa kudhibiti hata ikilazmu kutumia jeshi la wananchi
Nakubaliana kwa kipengele kimoja kwamba vyama vya upinzani vinataka kurejesha nidham na uwajibikaji vilivyopotea ndani ya chama tawala.Kujivua gamba kuliyeyuka maana gamba gumu halikuguswa yaani mkulu.Wakamsingizia kiongozi shupavu lowasa eti ni gamba.Ilikula kwao pale EL alipofunguka kwamba...
Sio utaratibu wetu wachache sana wanaoweza kuwajibika kwa wananchi,edward lowasa pekee aliyewajibika kwa wananchi na serikali ya ccm kwa sababu ya makosa ya wengine
Katka watu wa ccm ambao wapowapo tu ni huyu jamaa kigwangala,ukifuatilia nyendo zake utaona ni mnafiki wa kutupwa na anajichanganya.Anasahau hata yeye aliwekwa kuwa mgombea ubunge kwa sababu hiyohiyo ya kujuana na jk
Mtaendelea kusingizia oh mbatia ccm B,uchaguzi utakapo itishwa wapinzani chali,jimbo linarudi nyumbani kwa chama kinachojua kushinda na umhimu wa kushinda.Wapinzani ndo wanajizika hivyo hvyo.Wapi shibuda wa kurusha mawe akiwa kwenye nyumba ya vioo,siku akitimulia cdm utasikia oh nina mke na...
Alikuwa anarusha mawe akiwa kwenye nyumba ya vioo,sasa amegeukiwa yeye anaunyaunya tu! Oh si unajua sisi binadam bwana tunafanya makosa blablabla.Chukua maamuzi magumu kama EL kuuachia uwaziri mkuu na kutokuangalia nyuma.Huu ndo uanaume si kulikoroga na kushindwa kulinywa kama alivyofanya dav...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.