Wanakufa kama wengine wananavyokufa ...nimehudhuria msiba wa albino alikuwa mwalimu tukazika ....lakini kesho yake kaburi likafukuliwa watu wakaondoka na viungo vyake
Daktari hapangiwi...ungejua ugonjwa unaokusumbua ungeenda kununua dawa na sio hospitali...kuhusu usafi ulitaka kutibiwa eneo ambalo ni chafu si ndo ungesema zaidi,kila sehemu ina utaratibu wake ,kama unataka fast track tafuta hela.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.