Search results

  1. B

    Freeman Mbowe akutana na Askofu Bagonza

    Pale alipo tetea haki ya mtoto kulia aliniacha hoi "Mtoto apigwapo haki yake ni kulia" inashangaza wapinzani wanapofungiwa mikutano na wapazapo sauti wanakamatwa na kufunguliwa makesi
  2. B

    Kongamano la Katiba Mpya larindima Buchosa

    Watu wa mtandao sio watanzania kasema hawatambui!!
  3. B

    Kongamano la Katiba Mpya larindima Buchosa

    Mnampasua kichwa bimkubwa sijui mnataka awafungulie kesigani sasa!
  4. B

    Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

    Mzee Tupa umetumwa na Msukuma Mwambie mabasi yake ni Screpar
  5. B

    Kamati iliyotoa Mapendekezo ya Kamati ya Msajili wa Vyama Kuhusu Katiba Mpya, Kisheria na Kimantiki ni Batili

    Kaonja asali sasa ameamua kuchonga mzinga! Ajue nyuki ni hatari!
  6. B

    Wakati CHADEMA wakidai Katiba Mpya ACT Wazalendo wanataka Tume Huru. Je, Zitto ni laghai wa kisiasa?

    Wameamua kuchonga mzinga ile asali kwenye kijiko imekuwa tamu Zito hana cha kupoteza kwasasa hata udiwani hawezi pata hivyo kaamua ku Join the chain na Bi Mkubwa wake
  7. B

    Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

    Naona "Muonja asali kaamua kuchonga mzinga" Hala hala nyuki wasimpe manundu
  8. B

    KATIBA MPYA: Wananchi wajipanga kuanzisha Kikosi kazi chao kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2025

    Hapa ndipo yale maneno"ameonja asali kaamua kuchonga mzinga" Mama katupiga na kitu kizito kichwani Kajitengenezea tume kama ile ya Warioba kinamna fulani Hivyo kawahakikishia kina Zito maVx na mafuta posho mpaka 2030 Mama muogope Muumba asikupige kipapai ukamalizia maisha kwa taabu na mateso...
  9. B

    Leo Magufuli hayupo madarakani, Wapinzani hawapo bungeni, Job Ndugai sio Spika tena na Prof. Asaad sio CAG tena

    Ila Halima Mdee ni jembe kama binadamu naomba hekima zitumike kama GSM anavyo komboa nyumba ya Kinondoni Halima ni mateka wa Ndugai
  10. B

    TAKUKURU yaingilia kati sakata la Makonda na GSM. GSM aliripoti hati ya kiwanja kupotea

    Muosha huoshwa Hata yule jamaa wa Mochwari Muhimbili iko siku ataoshwa Tutende mema
  11. B

    TAKUKURU yaingilia kati sakata la Makonda na GSM. GSM aliripoti hati ya kiwanja kupotea

    Kuhusu maroli ya gsm hata wewe mkinga unaweza kuingiza 100 ni conection tu hatuziju wanatumia dhamana na kupewa mikopo kazi kwako kusimamia hayo maroli card zinabaki kwao mpaka utakapo maliza deni wajanja wa zamani waliifanya sana kutumia Karadha
  12. B

    Peter Msigwa: Niko tayari kufukuzwa CHADEMA kwa sababu ya suala la Ngorongoro

    Wagogo wakapelekwa Knjaro? Sio lazima kila jambo udandie!!
  13. B

    Peter Msigwa: Niko tayari kufukuzwa CHADEMA kwa sababu ya suala la Ngorongoro

    Haya umeshinda mkuu operation vijiji pia unaijua!!
Back
Top Bottom