Nashangaa watu wanaposhabikia hili bila kuangalia athari zake wa watanzania ambao wanaanza kuinukia. Watakaofaidika na haya ni matajiri wakubwa, wachina na wahindi. Serekali iangalie upya hili. Iweke siasa pembeni. Waafrika mtanendelea kuwa wanunuzi tu kwenye maduka ya wageni. Hii kitu imewatoa...
By Freeman Aikaeli Mbowe
Chairman of CHADEMA – Party for Democracy and
Development in Tanzania
Last Saturday, we in Tanzania kicked-off our official campaign season that will culminate in elections at the end of October. Twenty four million Tanzanians are registered to vote to elect a new...
Ndugu yangu, mimi haikuwa inausiana na biashara ya mtandao, ni kuwa pesa zinatolewa na zinaingia bila idhini ya mteja. Ukifuatilia ni ahadi lukuki hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.
CRDB ni majanga. CRDB ni kama hawajielewi, wakati mwingine mteja anaonekana kama mtu fulani mwenye shida wakati pesa ni za kwake. Siwaelewi kabisa hawa watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.