Search results

  1. Y

    Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

    Kaka ntumie picha za mixer ya mchanga,,,namaaansha vibrator na Bei take na mnapatikana WAP ntumie na namba zako
  2. Y

    Biashara ya kufyatua tofarii

    Yap n kwelii nna Bajaj mbili saiz bags itansaidia maana najua changamoto ya biashara lazima uwe na subiraa, vp nawez kupata wapi hzo machine? Za kuchonga ndo nahis nzurii zaidi.
  3. Y

    Biashara ya kufyatua tofarii

    Msaada jaman nahtaji kufanya biashara ya kufyatua tofarii japo nataka kuanza kununua vifaaa hvyo kimoja kimoja,,mfano vibrator mixer ya mchanga naweza kupata wapi? Kwa Bei ganii? Ina uimara ganii? Mm kwa sasa Niko Dodoma pia Ile vibrator yenyew inayofyatua tofar wanauza Bei ganii? Zinapatikana...
Back
Top Bottom