Search results

  1. Maqal

    Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

    Samahani mkuu, naomba uweke uzi kwa ajili ya PC Maintenance. Then naomba msaada: PC yangu nikiwasha inawaka vyema tu, lakini ajabu ni kwamba nikibonyeza button yoyote ile kwenye keyboard inajizima yenyewe. Shida nini hapa?
  2. Maqal

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Vizuri, usikate tamaa. Inahitaji muda na mazoezi ya kutosha. Sometime inaboa kweli.
  3. Maqal

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Mwalimu nina shida na source code za app ya android media player, hususan audio. Kama zipo please naziomba. Thanks.
  4. Maqal

    Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

    Mumeona haitoshi kuinyonya mamlaka Zanzibar mpaka mukaufanya muungano kuwa vita ya kidini.
  5. Maqal

    Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

    Shida ni kwamba nyie ndio wenye kuung'ang'ania huo muungano, mpaka mwalimu nyerere kuamua kumuua mzee karume ili alinde maslahi yake anayoyapata kwenye muungano. Hapa ni kusema kwamba, tanganyika wamenufaika zaidi na huo unaoitwa muungano, kwa sababu wazanzibari walitaka kujitoa zamani kwenye...
  6. Maqal

    Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

    Kwahiyo watanganyika muko tayari muungano uvunjike?
  7. Maqal

    Utandawazi wa Siasa: Alianza Tundu Lissu, akafuata Trump, sasa Bobi Wine kupinga matokeo bila ushahidi

    Naomba unielewe mkaka. Sijasema Lisu kashinda, wala sijasema wananchi wamesema Lisu kashinda, lahasha. Nilichojaribu kueleza ni vile chaguzi za huku kwetu zimetofautiana na huku nje, kuanzia mtazamo wa wananchi, tume ya uchaguzi, mahakama na vyombo vya ulinzi na usalama Nadhani utanielewa vizuri
  8. Maqal

    Utandawazi wa Siasa: Alianza Tundu Lissu, akafuata Trump, sasa Bobi Wine kupinga matokeo bila ushahidi

    Kupinga Trump haijakuwa hoja ya msjngi. Tuangalie wananchi wanasema vipi, mchakato wa uchaguzi umeenda vipi, dola ilifanya nn, tume ya uchaguzi wakishiriki vipi. Ukiangalia yote haya utaona hakuna chombo kilichotumika kwa maslahi ya Biden, na wananchi wenyewe ndo wamemchagua. Trump anapinga...
  9. Maqal

    Utandawazi wa Siasa: Alianza Tundu Lissu, akafuata Trump, sasa Bobi Wine kupinga matokeo bila ushahidi

    No, free and fair election huanza tangu wakati wa kampeni. Hata uwe professional kiasi gn, huwez sema siasa za afrika ni sawa na mataifa kama marekani na ulaya. Mataifa hayo yana mahakama huru, hupigwi mtu, polisi hawatumiki na vyama vya siasa na mengine mengi miongoni mwa hayo. Haya, vuka...
Back
Top Bottom