Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Ni kama siasa za dunia sasa zinafanana na aina ya wanasiasa iwe kutoka Afrika, Amerika au Ulaya wote wanafanana tabia.
Mwisho wa mwezi wa kumi mwaka 2020 ndugu Tundu Lissu aliitisha wanahabari na kuwaambia hatambui matokeo ya Urais,wiki moja baadaye Donald Trump naye kama Tundu bila vielelezo alilalamika kuibiwa kura katika uchaguzi wa marekani na saaa mwezi huu wa Januari,14 2021 Bobi Wine wa Uganda bila kielelezo analalamika kuibiwa kura.
Mjadala: Je, siasa za dunia zimeingia zama mpya za Utandawazi?