Search results

  1. S

    Mama mkwee..!

    Jamaa kakosea baada ya ku2ma sms kwa hawara akatuma kwa mama mkwe ilikuwa inasema: MIMI NAKUPENDA NIMEVUMILIA NIMESHNDWA NIMEONA NIKWAMBIE YA MOYONI NAOMBA TUWE WAPENZ MKE WANGU HAWEZ KUJUA: wakat anatafakar atafanyaje likaja jibu kutoka kwa mama mkwe: NAMI NAKUPENDA UNGECHELEWA NINGE KWAMBIA...
  2. S

    Utabiri wangu

    Kwa kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako: 1.Umeshika simu yako ya mkononi. 2.Unasoma hii habari unatumia dole gumba. 3.Wewe ni binadamu hai kabisa. 4.Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo. 5.Nakuona umejaribu kusema neno PIPI. 7.Unajicheka mwenyewe...
  3. S

    Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

    Wakati benki inavamiwa, nikapiga 112 nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI TANZANIA KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili press 1 for english press 2, nikabonyeza 1, sauti ikasema kwa ajali ya barabarani au moto bonyeza 1 kwa ujambazi bonyeza 2, nikabonyeza 2, sauti ikasema: kama majambazi...
  4. S

    majanga

    Nimeokoa maisha ya mtu leo huwezi amini........."Nimekutana na ombaomba nikamuuliza atajsikiaje nikimpa Sh. 30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha......Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.."HUONI KAMA NIMEOKOA UHAI WAKE ?
  5. S

    huyu ndio great thinker

    JAMAA ALIKUWA ANAMCHUJNGULIA HAUSGAL WAKE KUPITIA 2NDU LA FUNGUO, AMEINAMA KWA KUSHIKA MAGOTI, MARA MKEWE AKAMWONA NA KWA UKALI AKAMUULIZA UNAFANZA NINI HAPO? BWANA AKAENDA JUU NA KUSEMA SAMIALLAHU LIMAN HAMIDA! MKE AKASEMA HA, KUMBE UNASWALI! JE HUYU JAMAA NAE ATAKUWA GREAT THINKER?:A S-coffee:
  6. S

    Endeleza yako hapo

    DIRECT TRANSLATION FROM SWAHILI TO ENGLISH. 1.Wacha mchezo - Leave sports. 2.Mimi sio mtu hivi hivi - Am not a person like this like this. 3.Sikumoja nitakutembelea - One day I will walk on you. 4.Yeye ni mtu maarufu - He is a smelly person. 5.Nataka kukujulia hali - I want...
  7. S

    kama we mpenzi wa man united funguwb hapa

    https://www.facebook.com/title20 promote the page for all manutd fans....:) please one love BEL20VE
  8. S

    muhamed na josef msikitini

    Kulikuwa na wakristo wawili walikuwa wana njaa kweli siku 3 hawajala wakaona msikiti moja akamwambia mwenza pale msikiti hatuwez pata chakula mpaka tuwe waislamu sasa tubadilishe majina moja akasema me ntajita muhamad mwenzake aka kata asema sibadili jina me naitwa josef hvyo hvyo...
  9. S

    mmh hawa watoto noma

    Mama Mjamzito anatarajia kujifungua Mapacha watatu, mapacha wanadiscuss 2mboni.. 1: Mi ntakuwa Fundi umeme, kuna giza sana huku 2: Mi ntakuwa Fundi bomba kuna unyevu sana huku 3: Mi ntakuwa Mwindaji, na yule nyoka akija tena huku, ntamkata kichwa..!
  10. S

    Teja kaingizwa msikitini

    Dingi yetu uliye majuu jina lako lipewe maflagi ya kufa mtu ufalme wako utuibukie kiaina unachotaka ​kifanyike duniani kama maskani kwako utulete leo mapiza mbaga na mazaga zaga tuchuku tukichemka kama tunavyo wachunia masela wa kitaa usitutie moton bali utuokoe kwa maji kwa sababu wewe ni...
Back
Top Bottom