Daa kweli kabisa mkuu ya Mimi kila siku napewa maswali mpaka nachoka maswali ya secondary anapewa mwanafunzi wa primary
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa mm nilimtongoza kwa barua maana simu zilikuwa hakuna nikampa mdogo James Rip ampelekee baadaya siku mbili tatu dogo akanipa barua ya majibu makopa kopa Kama yetu nilijiona kidume ndio akawa mpenzi wangu nikawajingongea tu siku ya Kwanza nilimgonga kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.