Search results

  1. M

    Anayejua sehemu yoyote penye ujenzi wa barabara kwa sasa anistue. Mimi sijaona tangu awamu ya 6 iingie madarakani

    Nilipita hapo June 2020 walikuwepo. Nakumbuka watu wa Kakonko walikuwa positive sana. Tulisimama pale kula chakula Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  2. M

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Huyu Luteni ni smart sana. Maswali mengine anatoa majibu kumdistort Wakili. Tazama hiyo flow utakua alikua wakati fulani anakua superior kwa Wakili. Najifunza siyo Kila anayefell form four ni mjinga. Na siyo Kila Wakili ni smart kwa mbele ya wikili Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums...
  3. M

    Kwanini Makanali, Mameja, na Makepteni ndiyo hupindua nchi siyo Mabrigedia?

    Nimeona wimbi la mapinduzi limeanza upya Afrika hasa Afrika Magharibi lakini kote vinara wa mapinduzi ni maofisa wa Jeshi wenyevyeo vya kati kama Makanali, Mameja na Makepteni. Tazama Historia na facts. 1. Gamal NASER alipundua Egpt akiwa Kapteni 2. Muamal Ghadafi alipundua Libya kiwa Kanali 3...
  4. M

    Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Inasemekana Hawa wenye umri mrefu ndiyo huwapangia vifo wenzao Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  5. M

    Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Tupe na Tawimu za Samia pia mapendekezo yenu mnatakaje Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  6. M

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Eti Dodoma. Ulinganishe na Rock City. Duh. Hii picha inasema yote Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  7. M

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Hizi ni picha za makazi binafsi ya Capri point MWANZA. wanakoishi matajiri wa Mwanza. Huu ndo mtaa wa Wazito huwezi Kuta hii Dom wa Arusha. Masaki DsM na Mwaka Capri Point. Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  8. M

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Mwanza Ina makazi binafsi mazuri mara mia ya Dodoma. Fika Capripoint Isamilo Mwananchi Bwiru Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  9. M

    Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Maelezo yako ni mazuri. Sasa wafundishe vijana wa Kichaga kua hawana umaalumu wowote. Ni sawa na wenzao wayao, Wamatumbi, Nyaturu nk. Advantage ya kufikiwa mapema na umagharibi siyo kuwa na akili na superiority ni staratigal tu. Hii myth imesababisha Hadi vita kwa Mataifa mengi Dunia...
  10. M

    Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Asante. Umenikumbusha vita ya Wameru miaka ya 90 mwanzoni. Ukisali KkKT unauwawa kuwa msaliti. Mpaka kanisa la KKKT likaweka azimia la kuunda Dayosisi ya Meru. Na tangu hapo katika Dayosisi ya Meru haijawahi kuwa na mchungaji Wala Askofu mchaga. Mpaka milele Sent from my Lenovo L38111 using...
  11. M

    Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji

    Manispaa zinazoiizidi manispaa ya Moshi. 1. Morogoro 2. Mtwala 3. Zanzibar zipewe adhinya Jiji hizo ndo Moshi ifuate Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  12. M

    Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Sina inferiority yoyote ila nakupa fact. Wachaga kwa kujipendelea post independence na kuwa pro wakoloni wakati wa wakoloni mkaona ni smart. Sasa mwanga imetangaza nchi nzima manalalama. Historia iko wazi. Nenda CRDB Kimei ilajaza wachaga tu kama ni Mali binafsi. Tazama hata dhehebu la KKKt...
  13. M

    Wananchi kukabidhiwa maghorofa ya Magomeni kota, wamlilia Magufuli

    Haha na ww imeanza kuelewa Bado Lissu Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  14. M

    Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Kaka. Kilimanjaro Kuna TTC nne za umma. Kuna chuo Cha Misitu, chuo Cha Wanyamapori, chuo Cha ushirika na vingine vingi vyote vya umma. Wakati Kuna mikoa haina hata TTC Moja. Je Kuna sababu ya ziada taasisi hizo za umma kurundikwa Kilimanjaro. Kama siyo upendeleo. Alafu btwn lines ni kama unaona...
  15. M

    Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Hakuna kiwanda kilijengwa na zama za Msuya Mwanza Wala Kanda ya Ziwa. Textile nyingi huku ni za late 1969. Viwanda ya mafuta ya pamba ni early 1970 na ilikua program ya JKN. Msuya anakumbukwa kwa kazi moja tu. Kufanya miradi yote ya Taifa iwe Kilimanjaro na taasisi za umma kuhamishiiwa...
  16. M

    Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Upendeleo wa Msuya uko wazi. Barabara umeme, vyuo vyote vilijazwa Kilimanjaro. Wachaga ni wabinafsi Hadi kanisani. Tazama ukabila unavyolitafuna kabisa la KKkt Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  17. M

    Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

    Damu ya Mwinyi kwa kuuza nchi haijambo. Lol. Isije kua Samia pia ana hii damu. Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  18. M

    Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

    Unabii wa Ndugai tayari umetimia nchi imeanza kuuzwa Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  19. M

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Zwazwa mawanza Kuna international school Mzee ianitwa Isamilo International School. Google basi Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  20. M

    Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Haha Enzi za PM, Waziri wa Fedha na PS wote Kilimanjaro imepita na haitanrudi Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom