Search results

  1. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    mkuu unaweza niambia nizingatie hass which herbs? au vyakula gani vya asili nizingatie? niambie ili nitumie zaidi , zinaweza saidia pia
  2. Mnyakyusa Ipinda

    Mapito haya ya Mnyakyusa Ipinda: Hii ndio simulizi yake

    ndio atafanya hivo, anaandaa utaratibu mzuri akimaliza atapost hapa, asante mkuu
  3. Mnyakyusa Ipinda

    Mapito haya ya Mnyakyusa Ipinda: Hii ndio simulizi yake

    Amen, aniponye hakika, nimepitia mazito, i need to recover, is too much now😢
  4. Mnyakyusa Ipinda

    Mapito haya ya Mnyakyusa Ipinda: Hii ndio simulizi yake

    wakuu habari tena kwa mala nyingina, nipo naandaa utaratibu rahisi wa kuwasilisha michango ya kila mmoja, hivo tawapa utaratibu rasmi mda kidogo, tashukuru sana na Mungu awaongezee mtapo punguza, Mungu aniponye , najiskia vibaya sana. Mbarikiwe wote
  5. Mnyakyusa Ipinda

    Mapito haya ya Mnyakyusa Ipinda: Hii ndio simulizi yake

    Majina yangu official ni Revocatus Obote, nina miaka 28 sasa, kitambulisho cha nidaa kimepotea but number ya nida ni 19950609121190000128 pia nasubiri cm iingie charge niwashe camera nipige picha documents zangu, mniwie radhi naandika taratibu sababu natumia mkono wa kushoto
  6. Mnyakyusa Ipinda

    Mapito haya ya Mnyakyusa Ipinda: Hii ndio simulizi yake

    wakuu habari, umeme ulikatika na simu ikazimika before niliply, but now umerudi, nipo online, wacha niweke detail nlizonazo , ukihitaji ufafanuzi wowote nijulishe takufafanulia, mbarikiwe wote
  7. Mnyakyusa Ipinda

    Mwaisa nimerejea sasa, baada ya kuwa uhamishoni kwa muda. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kaka mshana, habari. i hope uko poa. Nna jambo linanimiza kichwa sana wakati huu nikiwa naumwa bado, hata sielewi nafanya aje, nifungulie pm unitext unishauri jambo mkuu
  8. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    samahani mkuu, ni vile nimezoea tu na kuishi na watu wanaoongea kingereza hawajui kiswahili sana ila usijari
  9. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Anaendelea aje hadi sasa mkuu? angalau nijue ameweza vipi kua ok
  10. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    wakuu habari zenu. Dah nilipewa majib juzi sema nilikua stressed kiasi hata skuingia online😩 nilikutana na docter bingwa wa mishipa ya fahamu na mifupa, kaniambia wamefanya vipimo vyote , shida ni mbili tu, mifupa iko ok so inahitaji mazoezi tu ya kutosha itakaa sawa ba kunyooka tena japo...
  11. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    my God😥 nmeona mkuu, nmesome wikipedia, dah guys nipone aisee, inatisha, hadi nmetetemeka
  12. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Amen mkuu, asante sana kwa ushauru huu mzuri, mungu anisimamie
  13. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    asante sana kiongozi, tafanya hivo kadri niwezavyo cas cna namna ilimradi nipone
  14. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    kabisa, kila mtu haamini kama hata niliweza kuamka, cas niliwekewa oxygen nachine hata faham sina, nakuja kufungua macho madocter wanashangaa cas nmekaa 3 weeks kana nmekufa hata nacho sifumbui so ni Mungu tu
  15. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    shukrani mkuu, mifupa iko ok ni ya kunyoosha yes, hivyo nikitoja huku takudm uniconnect nije huko uliko wanishulikie pia
Back
Top Bottom