Search results

  1. Lachine

    Umewahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Udereva wa matruck ni taaluma muhimu na yenye mchango mkubwa kwenye uchumi, lakini haithaminiwi. Na Afrika, hata Tanzania hakuna ubunifu wa biashara. Uki invest kwenye vyoo na shower rooms za kulipia ni hela nzuri sana.
  2. Lachine

    Kama hujui faida za raia wengi kuwa nchi za nje, angalia remittances EAC

    Watanzania endeleeni kutembea kwa kupunga mkono.
  3. Lachine

    Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Sasa huu mchango wako ndio nini kama sio matapishi?Mimi naongelea suala la usalama wa abiria, wewe unaongelea upya wa boti? Wacha huyo aliyekuwa na maradhi ya akili, kwa ile barrier, hata ugomvi tu baina ya abiria hakuna aliye salama mle ndani. Hatua za muhimu zinahitajika ili kulinda maisha ya...
  4. Lachine

    Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Ohh Tanzania, ni lini tutabadilika? Yaani kale kaboti kamekaa kama zile gari za abiria za zamani "Chai Maharage." Yaani hakuna kizuizi wala security. Hii kampuni ya usafiri inabidi waangaliwe vizuri kuhusu usalama wa abiria. Bure kabisa. Halafu kwa nini ushahidi wa tukio umesambaa kwenye Social...
  5. Lachine

    Nataka Kuhamia Canada

    Uamuzi mzuri. Penye Nia Pana njia. Maisha popote. Maisha ya Canada yanahitaji uvumilivu sana, lakini pia hakuna kinachoshindikana. Ni nchi kubwa lakini watu wachache. Uchumi ni mzuri na kazi za kumwaga. Gharama za maisha zinategemea wapi unaenda kuishi, mfano Toronto, Vancouver (Bei ya maisha...
  6. Lachine

    Kwahiyo Mbeya na Songwe utaratibu ni kupaki barabarani kupeana zamu ya kupita?

    Nakuunga mkono mkuu. Hakuna kitu kibaya kama uvivu wa kufikiri.
  7. Lachine

    Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

    Huyu Masai Bana. Usitoe taarifa panapohusika, unakuja kutuhaadaa sisi.
  8. Lachine

    Ubepari Vs Ujamaa, tuanzie hapa!

    Ubepari poa. Ujamaa unaleta umaskini.
  9. Lachine

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Wajomba kazeni msuli kutafuta VISA za Canada. Watu wanaingia Canada kuliko wanaoingia DAR kutoka mikoani. Juzi nimewaona vijana kama 25 kutoka Tanzania. Sijui wametumia mbinu gani kupata VIsa lakini wanaingia sana. Moja wao kaniambia takribani wabongo 100 wameingia Canada. Jambo ambalo...
  10. Lachine

    Mashirika mengi kupeana kazi kindugu na ukabila

    Hayo yapo tangu Enzi huzo za Baba wa Taifa. Bima ya Mwaikambo na Reli ya Tom Mari ilikuwa ni mifano dhahiri.
  11. Lachine

    Kwanini tuna hofu na kifo?

    Sio wote. Kuna baadhi ya binadamu wameishavuka hiyo stage. Kwao, kifo kimekuwa kama hatua nyingine ya maisha. Kuna majirani zangu huko Ughaibuni, zamani kidogo, mume alikuwa na maradhi yasiyotibika kirahisi. Baada ya appointment nyingi za Hospital, wakaambiwa matumaini ya kutubiwa na kupona ni...
  12. Lachine

    Nyumba nyingi zilizobomolewa na Tetemeko huko Morocco ni za Udongo, kumbe kuna Waarabu maskini!

    Uliyosema kweli kabisa. Lakini hata kutengeneza barabara ilishindikana? Accessibility ndio maendeleo makubwa katika jamii. Watu wengi watapoteza maisha kwa kukosa huduma ya kwanza mapema iwezekanavyo kwa sababu ya kukosa miundombinu.
  13. Lachine

    Nyumba nyingi zilizobomolewa na Tetemeko huko Morocco ni za Udongo, kumbe kuna Waarabu maskini!

    Kweli kabisa. Hali ya maisha ya hizo sehemu ni aibu iliyofichwa sasa imewekwa hadharani. At least angehakikisha njia za mawasiliano kama barabara zinakuwepo. Yaani huko haufiki bila punda ma mikokoteni.
  14. Lachine

    Leo nimekumbuka kesi ya Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, ilipelekea mahabusu kugoma kwenda mahakamani siku tano Dar wakidai dhamana yake ifutwe

    Ni kweli kabisa. Yule bwana aliua kwa kukusudia kabisa. (Mtuhumiwa, marehemu Ditopile) alimwambia swahiba yangu, ambae pia alikuwa mtu wake wa karibu kwamba anauhakika nguvu za giza zilitumika kumfanya amuue yule kijana. Kwamba, ni kama vile akili zilimruka. Hakutambua alilokuwa anafanya.
Back
Top Bottom