weka mawasiliano yake tubonge nae ili tufanye kaz na kama kuna kazi ambazo ameishafanya ni vizur ukatupia ili kujenga imani maana mafundi wengine shida unamleta anakuambia mm nikonk akishaharibu nduki hao hapana
mpaka mda huu mvua ipo inapiga yaan kiufupi mambo mawili mvua na jua havina kias kwa dar ikitokea jua linaunguza kama nn na mvua ikipiga mpaka mafuriko acha tulalamike buana.
kwaiyo populationi watu milioni 50 humo kuna watoto, wazee, walemavu, n.k halafu hiyo 24m itatoka wapi usimtetee huyu aaminiki tena mm tangu amesema jamaa yupo na mafaili baada ya siku nikaona gwaride sina hamu nae
ninakueleza haya kwasababu niliajiriwa na kuacha na sasa mm ni mtu huru. ilikua inanirazimu kuamuka saa kumi na moja nijiandae ili angalau saa moja niwe kazini kutokana na usumbufu wa foleni za dar ilikua kila siku kuanzia saa mbili mpaka saa moja nipo kazini kwani kulingana na kazi yangu wakati...
na sio kutumia kwa maendeleo tu, waafirika uchawi wao ni wausiku wakati wenzetu wanauaply mchana kweupe. ila swala la uchawi upo huwez tengeneza ndege ipae kama si uchawi kwa kivuli cha sayansi.
utatwanga maji kwenye kinu, ccm ni ilele milele na milele amina, jitaidi kupaza sauti mahaili ulipo tupate katiba mpya tuweke viongoz watakao sikiriza wanainchi kama waajiri matatizo yote hayo yataisha.
Chadema ndo wanahusika na ulaji wa watuhumiwa /mahabusu? Au ni serikali? Alisema hivo kwani hata huduma ya chkula walikua hawapati wawapo mahakamani hivo hajaubua chadema bali aliiumbua serikali.
PGO trending in bongo, yaan hili dubwasha hakika polis watalia nalo maana sasa watu wamelijua halikuwai kujulikana na polic kwa sasa wanajuta kuchokonoa kes maana kila mtu atakaye kamatwa ataaulizwa pgo[emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.