Search results

  1. J

    Kwa rasimu hii, CCM inakufa

    Rasimu inasemaje juu ya hoja ilokuwa ikitololewa na baadhi ya wananchi kwamba Mawaziri wasitokane na Wabunge? Mzee Warioba hajazungumza lolote juu ya hilo.
  2. J

    Nigombee ubunge jimbo gani 2015?

    Kwa hiyo huna ajenda unayotaka kuhangaika nayo! Ajenda yako ni kwenda Mjengoni tu!! Basi usigombee popote.
  3. J

    Mashine za mbao

    :rain:Kwa ununuzi wetu wa-TZ, bei ingebandikwa kwa kila moja, biashara ingependeza.
  4. J

    TZ Embassy in DC Web

    Nami nimeshuhudia hilo. Ila mambo mengine bwana, inabidi kucheka tu! Hapo hapo kwenye Home page ya Ubalozi wa TZ Marekani pana ka-title ka Regional Corporation, ukienda kwenyewe unakuta title bado ni hiyo hiyo Regional Corporation lakini ukisoma content unaona Kinachoelezwa ni Regional...
Back
Top Bottom