Search results

  1. sister

    Namtafuta Joseph Nicas Lukoa

    Wapendwa habarini, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm. Tafadhali sana. Asanteni
  2. sister

    Mpenzi wako wa zamani anaweza kuwa mkwe wako??

    Habari zenu wana jamvi. naomba tujadili ikitokea kwamba mtoto wako anataka kuoa/kuolewa lakini umegundua kuwa mzazi wake mmoja alishawahi kuwa mpenzi wako je utaruhusu mtoto kuoa/kuolewa? na je utakubali huyo mpenzi wako wa zamani awe mkwe wako.?
  3. sister

    Naomba msaada

    Namtafuta rafiki yangu nimepotezana naye kama miaka miwili hivi na kwa bahati mbaya namfahamu huyo rafiki yangu kwa jina moja tu, sijui anapoishi ingawa yupo dar na alishawahi kunielekeza kwake kwamba unashuka kituo kinaitwa sayansi ila baada ya hapo nimesahau unaelekea wapi mana sikufanikiwa...
  4. sister

    Nifanyeje

    ninampenda causine wangu. yani mabibi zetu wamewazaa wazazi wetu hafu wazazi wetu wametuzaa sisi watoto. watoto ndo tunapendana. nifanyeje jamani naomba ushauri wenu.
Back
Top Bottom