Search results

  1. I

    Ni kweli mwenge haukufika kileleni?

    Wewe jason wewe, huogopi?
  2. I

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Aseme nini? Kwani yeye hajipendi. Akisubutu kusema tu magamba wanamrudisha tena Apollo. Kaa kimya kaka, yaishe.
  3. I

    Kwa nini Marais wa E. Africa hawakuhudhuria Maadhimisho??

    Hiyo jumuiya yenyewe isha sambaratika. Haipo tena. Thus why hata Burundi jk hakwenda.
  4. I

    Mwandishi Mayage S. Mayage umepotoka hatudanganyiki

    Maneno matupu hayasaidii. Andamana mkuu,,,,
  5. I

    Mwandishi Mayage S. Mayage umepotoka hatudanganyiki

    Unachangia hoja ipi? Iliopo mezani au una yako binafsi
  6. I

    Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

    Mie niko Somali Land cjui nini kimejili huko.
  7. I

    Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

    Ye anadhani wote tuko nchi ya magamba. Wengine tuko Somali land
  8. I

    Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

    Hujasomeka. Weka mambo wazi, imekuaje!
  9. I

    Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

    Hujasomeka mkuu. Weka mambo hadharani.
  10. I

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    Ngoja nitoe nauri, konda ananidai, dereva anasema mi staff. Hawa nao wanapingana.
  11. I

    Sitta aanza safari ya kuingia CHADEMA?

    U are wormly welcom mzee 6. Achana na siasa Uchwala za Magamba.
  12. I

    Sitta aanza safari ya kuingia CHADEMA?

    U are wormly welcom mzee 6.
  13. I

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Wewe ukiona mabango ya tigo, vodacom, airtel, hotels, mabenk, ccm etc ndio unaona maendereo ya current president sio? Unashindwa kujua kulikua na ATC, NMC,TRC, TFA etc vyote mali ya Mwalim na leo havipo tena. Unajua pele kiwanda cha unga cha Bakhresa kulikua ni NMC leo iko wapi??? Acha bana...
  14. I

    Vigogo wenye uraia wa nchi mbili ni hawa wafuatao

    Unaonesha ni kiasi gani sio mzarendo. So ss wote tukienda huko itakuaje and finally u are back. Kukimbia matatizo is not the way to solve them. Mimi, wewe na yule tunaweza kureta mabadiliko. Hapo ckukubali!!
  15. I

    SITTA: Sijisafishi kanisani!

    Duuuh! Thibitisha mzee.
  16. I

    Mnyika tusaidie wapiga kura wako

    Vip na ile ahadi yake ya kutatua kero ya maji safi jimbo la ubungo ndani ya siku 90 baada ya uchaguzi ametekereza????
  17. I

    John Malecela alithubutu

    New Tanganyika is coming soon. It might be in the next general erection. It's our time kuthubutu.
  18. I

    KUTOKUPATA MISHAHARA KWA WAKATI..Je, kuna anayebisha kuwa Serikali ya JK haijafilisika KIUCHUMI?

    Giza likizidi ujue kunakaribia kucha. Mateso yakizidi ujue ukombozi unakaribia.
Back
Top Bottom