Search results

  1. Buti la jeje

    Ipi kozi nzuri kusoma chuo?

    Nilisoma HGE nina B-history C-Geography na D-Economics E-Bam. Wale wazoefu na soko la ajira na muelekeo naomba mnishauri Degree gan ni nzuri kusoma chuo
  2. Buti la jeje

    Ushauri kwa kijana aliye maliza chuo

    Kama wewe ni kijana na umemaliza chuo, nakushauri kaaa nyumbani usitoke mpaka utakapoona unaweza kujimudu. Usijaribu kujimwambafai ukaona umeshakua unataka kuanza maisha yakujitegemea. Kaa nyumbani tuliza akili na hata kama ukipata kazi usijifukuzishe nyumban mapema kaa mpk utakapoana muda...
Back
Top Bottom